Kipofu anapo mwongoza kipofu mwenzake njia!!!

Kipofu anapo mwongoza kipofu mwenzake njia!!!

babu M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Posts
5,222
Reaction score
3,176
MOJA YA GARI LA TAKATAKA JIJINI DAR ES SALAAM

IMG_3468.JPG


IMG_3466.JPG
 

Attachments

  • IMG_3470.JPG
    IMG_3470.JPG
    40.8 KB · Views: 57
Hilo Lori ni la Meya wa jiji la Dar es salaam traffic ajipendekeze kulikamata aone kama hajahamishiwa kikazi Lindi
 
IMG_3470.JPG


Hizo tairi kipara kweli...Hawa Halmashauri ya jiji wakimnyanganya mtu leseni kwa kigezo cha "health and safety" siitakuwa ni kumwonea?
 
IMG_3471.JPG


Hiyo stika mlangoni "kwa pamoja tutauboresha utumishi wa umma" is this supposed to be a joke? Hawaoni kwa kuruhusu hilo gari kuwa barabarani wanaatarisha maisha ya watumishi wao na umma kwa ujumla?
 
Hii ndio Tanzania bwana,kila kitu kinawezekana
 
Du hii ni mkali kabisa usikute kuna mkono wa mkwele hapo kcihwa wanachotumia wabunge kufikiri
 
Gari la kuzoa takataka na lenyewe ni takataka! Yaani taka zaweza kuwa safi kuliko gari. Lol!
 
Back
Top Bottom