Woga tupa kulee
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,749
- 1,312
Baba V , MzunguMndali anakuulizia njoo haraka..
Naomba tu nitangaze udhaifu wangu hadharani, Hata ikitokea Kipipi kamkubali huyu kijana sitakuwa tayari kubariki ndoa yao kutokana na jinsi alivyoikosea adabu chit chat jana, otherwise nitajivua uenyekiti kwa muda na nikirudi sitaitambua ndoa yao, kimsingi sitakuwa tayari kuendesha zoezi lolote linalomhusu huyo MzunguMndali hadi pale nitakapojiridhisha vinginevyo. I remain Baba V
kweli hata huo ubwabwa mie tayari umenikinaiNaomba tu nitangaze udhaifu wangu hadharani, Hata ikitokea Kipipi kamkubali huyu kijana sitakuwa tayari kubariki ndoa yao kutokana na jinsi alivyoikosea adabu chit chat jana, otherwise nitajivua uenyekiti kwa muda na nikirudi sitaitambua ndoa yao, kimsingi sitakuwa tayari kuendesha zoezi lolote linalomhusu huyo MzunguMndali hadi pale nitakapojiridhisha vinginevyo. I remain Baba V
Duh!? Kupendwa raha jamani. Mimi nikipendwa na binadamu wote, nitafurahi sana! Ila unapozungumzia ndoa, lazima uangalie unapendwa na nani. Kama anamatatizo na jamii inayomzunguka, basi utakuwa na wewe matatizoni! Shtuka!!!

hahahahahah ulipotelea wapi aiseeHujambo bibie?
Me miss ya.
Give ya big boy a PM bana.