Kipindi maalum cha Lowassa na Uchaguzi ITV (01 Jan, 2016)

Kumtetea Lowassa na hoja zake inakubidi uvae ujinga kama wewe siyo mjinga!

Umewahi kusikia wazee ambao ni wafadhiri wakuu wa CHADEMA kama Mzee Philemon Ndesamburo amekuwa harassed/embarrassed kwenye kulipa kodi? Mzee kama Philemon Ndesamburo wanafanya biashara zao kwa haki na kuheshimu sheria za nchi katika biashara.

Yaani unataka serikali iwachekee watu kama Bashir Fenel Awale ambao ni matapeli wa kimataifa kwa sababu wana urafiki au undugu na Lowassa. My left foot.
Inaonyesha wengi mnaishi Tanzania kinadharia maana hata hamjui hata nchi yenu inaendaje. Ndesamburo utamuweza wapi kumbambika kodi wakati anafanyiwa mahesabu yake na ma Auditors wakimataifa kama Cooper &Lybrand? Ambao TRA wanajua ukibambika utakutana na urguments za kufa mtu mpaka aibu? Wanaobambikwa mpaka watu wanaxikimbia biashara zao ni hawa wa ngazi ya kati na chini ambao eitha wana ma Auditor uchwara au hawana kabisa. Mbona jambo hili liko wazi kuwa hata 1995 wale suppoters wa Mrema wengi walifunga biashara zao na kuanza magendo.
Pse mdidharau alichosema huyu mzee kwa ushabiki tuu, kina mantiki kiuchumi na hata kijamii. Pro Ukawa kama ana kiwanda au biashara ya hotel waajiriwa wake lazima watakuwa wa itikadi zote na kubwa zaidi ni WATANZANIA wenzetu
 
uchaguzi umeisha na kashaangukia pua, anachofanya ni kuendeleza hadaa kwa watanzania. Hivi majipu yake yanaanza kutumbuliwa lini?

Ki ukweli sijaelewa mantiki ya kipindi hiki kwani kimelenga kuzungumzia mchakato mzima wa uchaguzi kwa Lowasa hadi kupiga kura na matokeo.

My take:
Nazikubali busara za lowasa ila kwasasa ningemshauri atulie tu.
 
Ni kumbukumbu, kwani shida iko wapi? Hukuona Star Tv jana & leo walikuwa na documentary ya uchaguzi? Uchaguzi lilikuwa tukio kubwa kwa nchi yetu mwaka 2015.

Hivyo katika ku wind up mwaka, unapokumbushia matukio muhimu huwezi kuacha la uchaguzi; Na kipindi hiki ni sehemu mojawapo. Binafsi, nimefarijika kukumbushwa kile kilichotokea. Acheni kuwa too pessimistic kwenye maisha, mtaishia kuuumia sana. Be optimistic instead.
ingekuwa ni documentary ya magufuli hakuna shida, ila kwa kuwa ni lowassa mnahangaikaaa
 
Inaonyesha wengi mnaishi Tanzania kinadharia maana hata hamjui hata nchi yenu inaendaje. Ndesamburo utamuweza wapi kumbambika kodi wakati anafanyiwa mahesabu yake na ma Auditors wakimataifa kama Cooper &Lybrand? Ambao TRA wanajua ukibambika utakutana na urguments za kufa mtu mpaka aibu? Wanaobambikwa mpaka watu wanaxikimbia biashara zao ni hawa wa ngazi ya kati na chini ambao eitha wana ma Auditor uchwara au hawana kabisa. Mbona jambo hili liko wazi kuwa hata 1995 wale suppoters wa Mrema wengi walifunga biashara zao na kuanza magendo.
Pse mdidharau alichosema huyu mzee kwa ushabiki tuu, kina mantiki kiuchumi na hata kijamii. Pro Ukawa kama ana kiwanda au biashara ya hotel waajiriwa wake lazima watakuwa wa itikadi zote na kubwa zaidi ni WATANZANIA wenzetu
Acha kutisha watu na vi oditor ,kwa hiyo hapa tanzania hao maoditor hakuna mpaka watoke huko nje ,halafu wanajifanya wao ni wazawa wazalendo
 
Inaonyesha wengi mnaishi Tanzania kinadharia maana hata hamjui hata nchi yenu inaendaje. Ndesamburo utamuweza wapi kumbambika kodi wakati anafanyiwa mahesabu yake na ma Auditors wakimataifa kama Cooper &Lybrand? Ambao TRA wanajua ukibambika utakutana na urguments za kufa mtu mpaka aibu? Wanaobambikwa mpaka watu wanaxikimbia biashara zao ni hawa wa ngazi ya kati na chini ambao eitha wana ma Auditor uchwara au hawana kabisa. Mbona jambo hili liko wazi kuwa hata 1995 wale suppoters wa Mrema wengi walifunga biashara zao na kuanza magendo.
Pse mdidharau alichosema huyu mzee kwa ushabiki tuu, kina mantiki kiuchumi na hata kijamii. Pro Ukawa kama ana kiwanda au biashara ya hotel waajiriwa wake lazima watakuwa wa itikadi zote na kubwa zaidi ni WATANZANIA wenzetu
Wewe ndo mshabiki mbumbumbu kwa Fisadi lako linalopotea,Kwenye kodi hamna mjadala na walipe tu,hakuna cha excuse,utalimbikiziwaje kodi kama unatumia mashine ya EFD na hutumii ujanja ujanja? Hakuna lele mama,kodi ilipwe hata wewe ni Gamba au Ukiwa LIPA kodi
 
Ndio maana nasema wengi wenu level yenu iko chini. Jee kila biashara in ya kutumia EFD?
Kwaherini naona hapa nilipo sio penyewe
 
Nenda zako Nyu.mbu wewe umechakazwa na utumbuaji majipu unakuja hapa unatuzungushia mikono....Pu.mb.a.fu
 
uchaguzi umeisha na kashaangukia pua, anachofanya ni kuendeleza hadaa kwa watanzania. Hivi majipu yake yanaanza kutumbuliwa lini?
amekwambia kwamba anawahadaa watanzania, hii ndo shida ya kunywa komoni
 
Sijamuelewa Lowassa,sijawaelewa ITV pia nao wanatia huruma,hata kama ni upambe wao na ukaskazini nadhan hiki kipindi hakikuwa cha kutoka leo kama kilikuwa na ulazima wa kutoka.
ITV hawana tatizo, wao kama unawalipa hata mara mia wataonyesha kipindi chako, hata kikiwa pumba! Wee wape mzigo, hapa issue ni waliokilipia kirushwe hewani, sijajua lengo lao!
 
Mwaka 2015 ulikuwa mwaka mbaya sana kwa mzee lowassa
 
Ki ukweli sijaelewa mantiki ya kipindi hiki kwani kimelenga kuzungumzia mchakato mzima wa uchaguzi kwa Lowasa hadi kupiga kura na matokeo.

My take:
Nazikubali busara za lowasa ila kwasasa ningemshauri atulie tu.
NAFIKIRI ALITAKA KUTHIBITISHA JINSI ALIVYO MDAU WA AMANI YA NCHI HII KWA VITENDO!
 
ITV hawana tatizo, wao kama unawalipa hata mara mia wataonyesha kipindi chako, hata kikiwa pumba! Wee wape mzigo, hapa issue ni waliokilipia kirushwe hewani, sijajua lengo lao!
Mkuu huoni kitakuwa kina haribu reputation ya tv yetu pende pamoja na kuwa wanafanya BIASHARA lakin itakuwa na - ve impact kwa jamii yetu
 
Back
Top Bottom