Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,027
- 74,710
Kila jambo lina gharama yake, ila kwa mtu kama wewe huwezi kujua maana. Kipindi kilichorushwa leo uliza kule Zanzibar kimeleta hamasa gani na matokeo yake ni nini.Wajinga ndio waliwao ITV wameshapiga 10M..
Kimeamsha ari iliyokuwa imelala kwa kwa kupumbazwa na kauli mbiu #HAPAKAZITUU kumbe sio kuleta huduma bora za afya, elimu na ustawi wa maisha bali ni hapakazituu ya kubomoa nyumba za masikini waliookoteza vijisenti vyao au pension zao na kujijengea vijumba vya kuishi maeneo ya mabondeni kutokana na urasimu wa kupata viwanja. Nyumba ambazo leo zinaonekana uchafu kwa wale nazo.