Kipindi maalum cha Lowassa na Uchaguzi ITV (01 Jan, 2016)

Kipindi maalum cha Lowassa na Uchaguzi ITV (01 Jan, 2016)

Ki ukweli sijaelewa mantiki ya kipindi hiki kwani kimelenga kuzungumzia mchakato mzima wa uchaguzi kwa Lowasa hadi kupiga kura na matokeo.

My take:
Nazikubali busara za lowasa ila kwasasa ningemshauri atulie tu.
Ndo uangalie ili uelewe
 
Usikute uchaguzi ukarudiwa. Hawa wanasiasa wanajua mengi
 
Mshaurieni Lowasa akae kimya tu...anapoteza hela za bure......Anaelekea kwenye foleni ya akina Cheyo na Mrema
 
Ndo kimeanza sasa, ngoja tuone mwisho wake
 
Iv kimeishaa maana sjaona jipya ni yale yale ya kuzungusha mikono tu
 
Hiki kipindi hakina maana zaidi ya kutuumiza wanaharakati misiwepo kabisa.tena Itv waombe radhi maana wanacho maanisha sijaelewa
 
Kiukweli maana hili kipindi sijaiona labda kama ni endelevi tuganue kama ndio mwanzo labda watabadilisha huko mbele
Lakini kwa Leo sijaona jipya.mikutano Walioonyesha Leo mingi tunayo kwenye kumbukumbu zetu.
 
Lowasaaa mabadilikooo mabadilikooo lowasaaa.

Amewakomoa chadema ,kwa miaka 10 walimuita fisadi ili afe kisiasa .

Sasa chadema wanakufa nae kisiasa .

Kweli malipo hapahapa duniani
 
Hizo hela za kurusha kipindi si akasaidie wamasai wengine wenzake kule arusha ,sijui washauri wa huyu mzee ni akina nani vile
 
Sijamuelewa Lowassa,sijawaelewa ITV pia nao wanatia huruma,hata kama ni upambe wao na ukaskazini nadhan hiki kipindi hakikuwa cha kutoka leo kama kilikuwa na ulazima wa kutoka.
 
Back
Top Bottom