MOSintel Inc
JF-Expert Member
- Mar 24, 2016
- 812
- 585
Kama swali linavyouliza. Mara nyingi vyama vya siasa nyakati za uchaguzi vimekuwa vikitafuta kushika dola kwa njia tofaut. Mojawapo ya njia hizo ni pamoja na kuungana ili kujenga chama chenye mgombea mmoja atakayewapa ushindi wa pamoja.
Katika uchaguzi huu wa mwaka 2020 ACT-Wazalendo na CHADEMA wameonyesha kuwa na muungano wa Siri wakimkwepa msajili wa vyama.
Kwa upande mwingine wa ccm-mpya kumekuwa na hali ya kujitenga ya kundi lilokuwa likitukanwa aliyejiita mwanaharati huru(Cyprian Musiba). Wote sisi ni mashahidi kuwa watu hao wengine wakiwa na umri mkubwa Sana.
Nami swali jingine nililo nalo kwa sasa, sambamba na heading tilte ni hili:
January (mdogo), Nape, Kikwete, Makamba (mkubwa), kinana na wengine walioumizwa na mfumo huu; watampigia kura Magufuli??.