Kipindi hiki kigumu saana

Kipindi hiki kigumu saana

Crystal field theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2014
Posts
953
Reaction score
413
ladies and gentlemen, habari...

Ebana haka kapindi ni kagumu sana kwa mnaoripoti vyuoni.

sababu: watu wengi hupoteza vyeti na nyaraka muhimu kisa tu yupo fasta na usajili.

ushauri wangu, kuweni makini sana hasa wale wenzangu wa dakika mbili mbele fanya mambo taratibu kuepuka jutia ni hayo tu.

kila la kheri wandugu.
 
wapi NYANI NGABU alikuwa anapiga debe kuwa maisha sio magumu.

swissme
 
Back
Top Bottom