GRAMAA
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 1,155
- 3,399
Katika kipindi cha janga hili la COVID19 waandishi wa habari wa Tanzania wanaonesha udhaifu mkubwa sana juu ya kupapambana na hili janga la COVID19.
Waandishi wa habari wa Kibongo wamekuwa ni watu wa kukurupuka sana kipindi hiki cha COVID19. Udhaifu wao unajionesha kwenye mambo mbalimbali, yakiwepo.
(i) Selection of sources
Waandishi wa habari wengi sana Tanzania wanafeli sana katika kuchagua source ya kuihoji kuhusu mambo ya kitaalamu kuhusu COVID19.
Utakuta mwandishi wa habari anawahoji masheikh, mapadri,wachungaji au mtu yoyote ambaye hana taaluma yoyote ya kidaktari anamuhoji mambo ya kitaalamu kuhusu COVID19. Unadhani hapo utapata majibu gani ya kitaalamu kuhusu COVID19? Huu ni udhaifu mkubwa sana.
(ii) Wamemezwa sana na wanasiasa
Waandishi wa habari wengi sana wanasiasa juu ya taarifa za COVID19.
Utakuta mwandishi wa habari anaripoti story yake ya COVID19 kwa audience ila source ya taarifa hiyo ni mwanasiasa tens mbaya zaidi mwanasiasa huyo ni Paul Makonda au Humphrey Polepole. Very shame.
(iii) Kwenye press conference wanajaa sana.
Bila ya kujali usalama wao,waandishi wà habari wanazajana sana na mike zao. Utakuta wanamuwekea mzungumzaji zaidi ya mike 20 bila hofu yoyote ya COVID19. Very shame.
(iv) waandishi wa Tanzania wotw wanategemea source moja tu ya COVID19.
Na mbaya zaidi hawajui treatment na isolation centers zipo wapi na ngapi.
Very shame