Kipindi hiki ambacho Makamu wa Rais hajatangazwa bado, likitokea tatizo nani atashika nafasi ya Urais kwa mujibu wa Katiba?

Ama kweli MCHAWI NI BINADAMU ila PAKA ametumwa... Hizi si ndio zile ramli za level ya mwisho kabisa....
hebu tumuunge mkono na kumuombea MAMA YETU KIPENZI..
n.b fielda Marshall wa Wizara ya Afya yupo tutampa kijiti atuongoze
 
1616684069015.jpeg

Hapo ndipo Ndugai mtakapomtambua.
 
Ukisoma Katiba iliyo katika lugha ya kiswahili inatoa utaratibu uliousema ila ukisoma ile iliyo katika lugha ya kiingereza toleo la 2008 article 37 (3) inasema atakaechukua madaraka ni waziri Mkuu.

Ki utaratibu kukiwa na mgongano kati ya katiba ya lugha ya kiswahili na ile ya lugha ya kingereza ile ya kingereza huchukua
Ni waziri mkuu spika hajatajwa kabisa
 
..wakati wa Mkapa ndiyo Spika alikuwa anakaimu Uraisi ikiwa Makamu, na Raisi hawapo.

..miaka ya mwisho ya Raisi Mkapa, bunge lilibadilisha utaratibu huo, na kumuweka Waziri Mkuu kabla ya Spika.

..nadhani sasa hivi wanaoweza kukaimu nafasi ya Raisi ni Makamu, Waziri Mkuu, Spika, na Jaji Mkuu.
 
Ni Spika wa bunge naye kama hawezi atachukua Jaji mkuu.
Ni kweli kabisa mkuu. Sema katiba inajichanganya sana. Wanamtaja Spika upande mmoja na upande mwingine PM
Ukisoma Katiba iliyo katika lugha ya kiswahili inatoa utaratibu uliousema ila ukisoma ile iliyo katika lugha ya kiingereza toleo la 2008 article 37 (3) inasema atakaechukua madaraka ni waziri Mkuu.

Ki utaratibu kukiwa na mgongano kati ya katiba ya lugha ya kiswahili na ile ya lugha ya kingereza ile ya kingereza huchukua mkondo
Kama unayosema ni kweli Mbona wakati ule Mkapa alipolazwa Uswisi alimuachia Shein na Shein aliposafiri Msekwa alikalia kiti cha uRais kwa siku 3? Na haikua Sumaye?
 
..wakati wa Mkapa ndiyo Spika alikuwa anakaimu Uraisi ikiwa Makamu, na Raisi hawapo.

..miaka ya mwisho ya Raisi Mkapa, bunge lilibadilisha utaratibu huo, na kumuweka Waziri Mkuu kabla ya Spika.

..nadhani sasa hivi wanaoweza kukaimu nafasi ya Raisi ni Makamu, Waziri Mkuu, Spika, na Jaji Mkuu.
Ni kweli kabisa
 
Katiba

Katiba inasema kama rais yuko inje ya inch basi makamu anshikili na kama makamu hayupo pia anashika waziri mkuu na kama wote hawapo mawaziri wanakutana wanampendekeza mmoja ili shikilie na kuongoza mpaka pale atakapopatikana rais
 
Which grammar school did you go, even!??? :) And, where did I write ^pessimist^!???
the grammar school that you have never been to and probably never will. Had you known any better, you would have been aware that "pessimist" is the opposite of "Optimist", the same word you used. Anyway you know best.
 
Nilikuwa nataka kujua tu kutoka kwa wenye uelewa zaidi.

Kwa kipindi hiki ambacho Makamo wa Rais hajatangazwa bado, ikitokea Rais aliye madarakani akakutwa na jambo linaweza pelekea kusitisha uwezo wake wa kuwa Rais, nani atashika madaraka?

La coruna si mkatili kihivyo. Atavuta subira kidogo.

Hasa hasa kutusoma kama somo limeeleweka.

Hana haraka kihivyo.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Back
Top Bottom