Kipindi gani cha ujenzi nimtafute Interior decorator? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipindi gani cha ujenzi nimtafute Interior decorator?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bitimkongwe, Nov 2, 2010.

 1. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Ndugu wanaforum naomba msaada wenu.

  Kulikuwa na post moja ambayo ilikuwa na discussion juu ya ujenzi wa nyumba.

  Sasa na mimi naomba kuuliza jee ni katika hatua gani ya ujenzi nahitaji kumwita interior decorator? Kabla ya kuanza kupaka rangi au rangi niamue mwenyewe halafu ndiyo nimwite yeye?

  Nitashukuru kama wataalamu watanipa msaada wa elimu hii.
   
Loading...