Kipindi gani cha kulima mihogo ?

Kipindi gani cha kulima mihogo ?

Elly ceejr

Member
Joined
Dec 24, 2016
Posts
51
Reaction score
17
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Jamani mimi nataka kulima mihogo
Je ni mwezi gani sahih wa kulima?
 
hata sasa unaweza kulima, yategemea ya muda gani miezi 6-mwaka ama miaka 2

ila upandaji wa kipindi hiki unapanda mbali mbali kwa kuwa kuna mvua ili istawi poa. (isibanane sana)
 
Alafu swali la niongeza....kupanda mihongo lazima iwe kwenye matuta??
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Jamani mimi nataka kulima mihogo
Je ni mwezi gani sahih wa kulima?

Kipindi kizuri nikipindi cha mvua za vuli kwahuku ukanda wa Pwani nikati ya October na December kupanda hata kuvuna kutaendana na aina ya mbegu nikiwa na maana kama mbegu yako utakayopanda mpaka kuvuna ni miezi 6 au 7 itakuwa hivyohivyo, ukipanda mwezi Feb to Apr itakupa hasara kibiashara sababu nikipindi cha masika za mvua nyingi, pia itakutana na kipindi cha baridi mwezi Jun to July hivyo muhogo hauwezi kuzaa sana hivyo mavuno yatakuwa kidogo, pia palizi itakuwa mara kwa mara kutokana na mvua nyingi kibiashara itaKupunguzia faida. Pia mavuni yake yatakuchukua mwaka mzima yaani ukipanda April mwaka huu utavuna April mwakani kwapwani tubasema umelima muhogo wa mwaka.

Faida yakupanda kipindi cha vuli mavuno mazuri sababu mvua za wastani, pia utavuna kwa wakati muafaka kama ni mbegu ya miezi 6 au 7 utavuna muda huohuo.

Kuhusu kuweka matuta sio lazima itategemea na ardhi husika, mbegu, na upandaji pia. Fikiria mbegu kama spring unaweza kufika mpaka 2mt tuta lake litakuaje? Muhimu ni ardhi kuwa imelimwa na ardhi nzuri ni ile tifutifu.

Ndio huo mchango wangu mimi ni mkulima wa muhogo nimeeleza kwa uzoefu wangu.
 
Mkuu vipi kuhusu masoko, kunao wanunuzi wa jumla wa muhogo mbichi? natarajia kuvuna si chini ya tan 5 kuanzia sept2018
 
Ndugu soko ni lakutafuta, muhufo ukiwa sio mvivu ukakomaa utapata pesa, lakini kama utategemea soko la kutafutiwa nimoja yazao wanalolalia bei, pia kanuni nikwamba lazima kupata soko kwanza ndio uingie kulima. Kikubwa nikucheza na timing tu. Pia kuongeza mnyororo wa thamani kama unaamua liwe zao lako lakudumu.
 
Unazungumziaje ile mihogo ya miezi 2 Mkuu, inafaa kibiashara ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom