Yugu
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 1,080
- 327
mbele ya umma haisapoti ila kimya kimya inasapoti kupitia hicho kitengo muhimbiliKweli waziri wa Afya atujibu hili, ikiwa inchi yetu inabinga ushoga iweje iwepo tasisi inayosupport ushoga hii ni hoja ya msingi na tunaitaji majibu
Ikiwezekana hata mmbunge yoyote leo aombe muongozo na kuja na hoja ya zarula bungeni tupate ufafanuzi wa kina