hawataweza,wataishia kupaka hayo magari gari lkn kuya-pimp kama pimp my ride ya marekani inavyofanya hiyo ni ndoto.
Hivi kwenye media/kampuni za Tanzania kuna creative lab/department au copying agency.....
si ndio hapo! Wanakera kweli kweli.
Hivi kwenye media/kampuni za Tanzania kuna creative lab/department au copying agency.....
Wakina dada wamepinga vikali hiyo pimp my ride, wamesema wataunga mkono kwa wingi wakiletewa Pimp my body,hapo wateja watajazana sana.
Hii ilianza zamani sana .........toka tunaandika katiba yetu.. enzi zile... ushishangaeDuh..Tanzania tutaacha lini copy n pest? We need to be creative. Inabidi tuje kitu chetu, siyo kukopi tu vya wenzetu kila siku.
Kile kipindi ambacho magari mikweche yanatengenezwa na kupendezeshwa kuwa mapya kitaanza kurushwa na Clouds tv kutokea dar kwa kushirikiana na garage ya wachina habari njema kwa wenye magari mikangafu wajitokeze kwa wingi barabarani kuanzia wiki ijayo huwezi jua bahati ikawa yako gari lako likawa jipya.source clouds tv
mikweche yetu ni zaidi ya mikweche, utakuta gari hadi filter holder imepigwa modification land cruiser inafungwa filter ya hiace, gear box gear zinachomoka za kushikiria, engine inachemsha, pad za brake hatununui mpya tunafanya bonding, mlango unafungwa na waya, vioo havipandi yaani kuripea gari moja tu na kipindi hakitarudiwa tena!