Kipindi cha pimp my ride kurushwa TZ wenye magari mkweche kaeni mkao wa kula

mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,301
520
Kile kipindi ambacho magari mikweche yanatengenezwa na kupendezeshwa kuwa mapya kitaanza kurushwa na Clouds tv kutokea dar kwa kushirikiana na garage ya wachina habari njema kwa wenye magari mikangafu wajitokeze kwa wingi barabarani kuanzia wiki ijayo huwezi jua bahati ikawa yako gari lako likawa jipya.source clouds tv
 
Duh..Tanzania tutaacha lini copy n pest? We need to be creative. Inabidi tuje kitu chetu, siyo kukopi tu vya wenzetu kila siku.
 
Watafirisika. Audience gani iko huku? watatengenezaje pesa za kufunika expences zao? na ukiangalia vizuri gari zilizo chakaa ni nyingi sana, wataleta frustrations tu as kila mtu atataka kuchaguliwa. Very soon watawashtaki nepotism, corruption na mengine. But let's wait and see, maybe watatoboa.
 
ile project ya Exibit is very expansive,ni zaidi ya kununua gari jipya.Kwa hapa bongo nani ataweza?,na kwa Exibit magari mengi shida ni board ila hapa TZ ulisikia gari ni mkweche ujue mkweche kweli,tenki limetoboka mafuta mchuzi juu kwenye kidumu cha lita tano,mlango unafungwa kwa wire,taa haziwaki kitu kinatembea mchana tu.
Mikweche ya hapa Bongo,Wachina wanafurahi,ngoja mi tapanda na wangu,ukiushika tu,hapohapo tetenus.
 
hAHAHAHHAHAHAAH duh
 
pia tujue kuwa western world umemaliza kufanya kwa vitendo kila fikra inayoleta maendeleo katika sekta nyingi, iwe elimu, burudani au siasa

sasa unaposema sisi kwa kuiga unakusudia nini?

do u think hao walioanzisha wenyewe kwa wenyewe hawaigani ?

-put this idea in different angles
 
Back
Top Bottom