KIPINDI CHA ORIGINo KOmEdI

KIPINDI CHA ORIGINo KOmEdI

KUNGURUHAFUGIKI

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
346
Reaction score
74
Katika kipindi hiki Kuna baadhi ya misemo uwa inatajwa katika kipindi hichi kama SANDA HAINA MIFUKO, KIPOFU ACHUNGULII, TUPIA MISEMO MINGINE ULIYOSIKIA.
 
Kunguru pia ndege japo hapakii abiria
 
mzazi anaweza kumzaa mtoto ila mtoto hawezi kumzaa mzazi kwa hiyo hawazaliani.
 
Back
Top Bottom