Kipindi cha MATUKIO RADIO FREE AFRICA hovyo sana!

wagaba

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,106
603
Badala ya kutuletea habari/matukio, matangazo ya biashara ndo yanatawala kipindi chote cha dakika 15!!!
Habari/matukio yanakuwa mawili au sometimes moja tu. Bora mbadilishe jina la kipindi na kuitwa "Kipindi cha matangazo ya biashara"

Kipindi cha tuongee magazeti mko juu - Pongezi kwenyu!!!
 
Back
Top Bottom