nyie mnataka maigizo kama yale ya c10 majiko ya gesi na umeme plate nane,watz wangapi wana kitchen cabinet????
mpishi anakwambia leo tunapika biryan masala,anataja mhitaji 12,kati ya hayo unachokijua ni mchele na chumvi tu,sasa hayo mapishi gani ya kujifunza!!!!ππππ
unajaribu kufatilia ujifunze kitu kipya unatoka kappa.