Kipindi cha "Mada moto"

Kipindi cha "Mada moto"

Hewa mkaa

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
748
Reaction score
386
Usiku Wa leo mtangazaji na muandaaji wa kipindi cha MADA MOTO, The King of Morning Show amezidiwa kete na waalikwa wake.

Kutokana na uwezo wao wa kupangua hoja zake zenye mitego, amejikuta anafunga kipindi chake nusu saa kabla.

TUKUTANE OCTOBA.

TUNZA VICHINJIO
 
Mwaka huu wataanzisha hadi vituo binafsi vya runinga ila mabadiliko ni lazima...
 
Usiku Wa leo mtangazaji na muandaaji Wa kipindi cha MADA MOTO, The King of Morning Show amezidiwa kete na waalikwa wake. Kutokana na uwezo wao wa kupangua hoja zake zenye mitego, aomejikuta anafunga kipindi chake nusu SAA kabla. TUKUTANE OCTOBA. TUNZA VICHINJIO


Mbona unaharaka tulia sema nani alikuwepo
 
Usiku Wa leo mtangazaji na muandaaji Wa kipindi cha MADA MOTO, The King of Morning Show amezidiwa kete na waalikwa wake. Kutokana na uwezo wao wa kupangua hoja zake zenye mitego, amejikuta anafunga kipindi chake nusu SAA kabla. TUKUTANE OCTOBA. TUNZA VICHINJIO

wamepanga hoja gani sasa? kama yule jamaa ambae hata elim ya msing sidhani kama alipata, alikua anaongea tu bila hoja yoyote ya msing..
 
Haaa haa hata mie nilishangaa, aliposema kaletewa ujumbe kutoka studio afunge kipindi. Yule jamaa mwenye kofia ni hatari sana, anasema tukutane oct 25.
 
Back
Top Bottom