Habari wana jamvi, Naomba kuuliza na ikiwezekana tuchangie na tuje na jibu la kusaidia,kuboresha ama kurekebisha. Jungu kuu hiki ni kipindi ambacho kinalenga kuwaelimisha wanandoa, wanaume kwa wanawake. Sina shida na hilo kabisa. Tatizo ni muda ambao kipindi kinarusha na Lugha zinazotumiwa na watangazaji wa kipindi hicho. Hivi kuna sababu mtoto wa miaka sita au nane kufundishwa mahusiano? Kwa maana ya namna kukaa na mke au mme?
Najua wapo watakao sema hujalazimishwa kuangalia ni kweli kabisa, binafsi ninao uwezo wa kuchagua nini niangalie na kwa wakati gani, lakini pindi watoto wanapokuwa wamebaki nyumbani peke yao hawana uchaguzi usahihi. Mimi nadhani kingetafutiwa muda sahihi wa kurushwa lakini sio muda ule wa saa moja jioni.