Kipindi cha Dakika 45 ITV kitapendeza zaidi kikirushwa live

Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,641
6,694
Nimekuwa mfuatiliaji wa kipindi hiki kinachorushwa na ITV, kipindi ni kizuri ila nahisi kikianzishwa kuruka live kitapendeza zaidi

Inaonekana kipindi huandaliwa zaidi ya wiki moja hadi mbili nyuma hivyo kinapoteza ladha ya kuwa sambamba na muda na matukio ndani ya wiki hubadilika

Pia lazima kipindi wanakiedit saaana na kuondoa uhalisia

UTV super bland tuwekeen kipindi hiki kiwahoji wageni husika papo kwa hapo!
 
ile huwa ni edited version, ukiona mtu anasikiliza alafu anashtuka lazima umshangae haina tofauti na hotuba ya Mwisho ya kampeni ya lowasa kupitia kwenye media.Maoni yako ni mazuri sana mkuu. Live inaraha yake..
 
Back
Top Bottom