J Joram kiango Member Joined Aug 25, 2013 Posts 82 Reaction score 16 Sep 13, 2013 #1 Waandaaji wa kipindi cha bibi bomba @ clouds tv je kinazingatia maadili ya kitanzania kwa maswali wanaoulizwa hawa kina bibi, vilevi, maneno ya kihuni na dansi tunazozishudia?
Waandaaji wa kipindi cha bibi bomba @ clouds tv je kinazingatia maadili ya kitanzania kwa maswali wanaoulizwa hawa kina bibi, vilevi, maneno ya kihuni na dansi tunazozishudia?