Kipindi cha BBC huwa kinaanza tangu saa kumi na mbili (12.00) asubuhi mpaka saa kumi na mbili na nusu (12.30) kikitoa taarifa mbalimbali kutoka duniani kote lakini kwa siku za karibuni hizo taarifa hazitolewi kama ilivyokuwa zamani isipokuwa wanaendelea na mijadala ya mada muhimu za hapa nchini. Mimi ni mpenzi sana wa BBC ninauliza kulikoni?.