Kipindi cha ala za roho clouds fm

Kuna siku watakuja kutiana studio maana wanapoelekea naona hakuna mipaka
 
dada na ile saut yake ya kichna dah ananiacha hoi...SHE IZ 2FEK
ndo wanaona wanakonga wasikilizaji then mtaani uko wakikutana na vilaza wenzao wanasifiana ahh nilikuskia jana ukifunguka mwana ...umemwaga lekcha ya ukweli...haha haha ni WAJINGA mpk nukta.
 
I hope hamjambo wajameni!
kuna hiki kipndi cha ala za roho cha clouds fm kinachorushwa usiku, sina hakika kama ni kila siku, mbona mimi naona kama jamaa wanvuka mipaka, maana hata kama nia ni kufundisha sielewi ni nini hasa maudhui ya kipindi, sikumbuki majina ya watangazaji lakini kuna mdada na mkaka aisee maneno wanayoongea humo ni balaa tupu, au ndio ubunifu wa kisasa? nisaidieni jamani maana kusema keli mimi kinanikwaza,. Nomba kuelimishwa na waliobahatika kukisikia

hivi clouds ni nane nane nukta ngapi vile? mwaka wa nne au wa tano sasa sijaisikiliza
 
Hawa clouds wana impacts mbaya sana kwa vijana wadogo. Tusipoangalia baadae tutakua na watu mahayawani kabisa. Wana brain wash sana vijana,upuuzi mtupu.
 
Back
Top Bottom