Ysher godwin
Member
- Aug 30, 2020
- 7
- 2
Hello wapendwa, nilikua naomba msaada.
Ninaitwa ysher nina miaka 25, i was and am still super excited kuwa na mtoto, nikafanya mapenzi danger days tena zote na mwenzangu aliweka ndani because we both excited, we are about to get married soon.
Sasa till now nimepitiliza siku zangu, maziwa yanajaa na chuchu zinauma nimepima kwa kutumia UPT results zinatoka NEGATIVE na sio mara moja nimepima mara 3 kwa nyakati tofaut yan wiki tofaut still NEGATIVE
WHAT STRONG naombeni msaada shida itakua nini am not pregnant or i am? Ideas tofauti tofauti kutoka kwenu naomba juu ya hili.