Kipimo cha kuchelewa kwetu!

Sijali

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
2,589
1,681
Watanzania wengi wamenyweshwa propaganda kuwa nchi imeenedelea mno chini ya CCM, na kwamba bad0 tunachanja mbuga! Maskini! Baada ya CCM kuwanyang'anya lugha ya pili, Kiingereza, ambayo angalau wangeweza kufuatilia masuala ya Kimataifa na jinsi maisha yalivyo kwa wengine, uwezekano pekee wa kuyajua hayo ni kwa kusafiri nje.

Lakini hata kusafiri nje aghalabu kunataka elimu, lugha, fedha na mawasiliano, si wengi wenye bahati hiyo. Matokeo yake raia wengi wa Tanzania ni mbumbumbu wa mambo muhimu, isipokuwa mpira, tena wa miguu tu! Bahati njema siku hizi kuna TV ambazo, more and more, Watanzania wanapata uwezo wa kununua. Ndiyo hapa mtu mwenyewe anaweza kugundua uhalisia wa kuchelewa kwetu.

Katika vita vya sasa baina ya Israeli na Hamas, kitu kilich0nistaajabisha ni hospitali za Gazza. Kipande hicho cha ardhi kilichozuiwa aina yoyote ya maendeleo na Waisraeli, hata kuingiza chuma ni marufuku....kina hospitali nzuri, zenye vifaa kuliko hospitali yoyote Tanzania!

Tena wana hata Ambulance nyingi, safi, zinaz0fanya kazi! Najua, kuna watu watasema, 'ah, lakini hao ni Waarabu wanapewa pesa na wenzao!' Si kweli, Tanzania inapokea mara sita fedha za msaada kuliko Gazza! Tofauti ni kuwa kwa Gaza hicho kidg kinachopatikana chatumiwa kwa lengo lake, bas!
 
Akiiona Lucas mwashambwa hii post atakuja na thread yake akisema Tanzania ya Samia inapiga marathoni kwenye uchumi hadi watanzania wanatetemeka kwa furaha
 
Ni kweli kabisa bado tupo nyuma kuanzia huduma za kijamii mpka huduma za mtu mmoja mmoja. Leo kuna madarasa hayan madawati sakafu na mengine kuta zimeanguka, alafu tunajidanganya tumepiga hatua leo kuna hospitali hazina drip za maji tu ila mtaani utaskia watu wanasifia kuupiga mwingi. Na hili sio kwa awamu hii ya sita ni awamu zote walikwama alikuja jamaa mmoja na sera za kutetea wanyonge mwishoe hao wanyonge hawakupata kitu zaidi walikua wanafurahi kuona matajiri wakipokonywa pesa zao na viongozi kutumbuliwa kimazingaombwe. Kiufupi hapa tz maendeleo yetu ni mdomoni na kelele mitandaoni.

Wale waliosifia royo tua leo kiko wapi mikopo ya covid leo imefanya nn tozo zilizo ongezwa zimeefanya nn kiufupi ni upigaji imagine hata umeme hatuwezi mudu
 
Umeongea jambo la Msingi sana.

Serikali yetu na Wananchi wake (kwa Ujumla), hatuna utamaduni wa kupeleka hela sehemu tuliyodhamiria (Discipline).

Hata tu Level ya mtu mmoja mmoja, Unaweza plan ukipata hela ufanyie jambo fulani, ila ukishapata unafanyia lingine.

Watu wa namna hii, kuendelea huwa ni ngumu sana hata mpewe hela nyingi kiasi gani.
 
Watanzania wengi wamenyweshwa propaganda kuwa nchi imeenedelea mno chini ya CCM, na kwamba bad0 tunachanja mbuga! Maskini! Baada ya CCM kuwanyang'anya lugha ya pili, Kiingereza, ambayo angalau wangeweza kufuatilia masuala ya Kimataifa na jinsi maisha yalivyo kwa wengine, uwezekano pekee wa kuyajua hayo ni kwa kusafiri nje.

Lakini hata kusafiri nje aghalabu kunataka elimu, lugha, fedha na mawasiliano, si wengi wenye bahati hiyo. Matokeo yake raia wengi wa Tanzania ni mbumbumbu wa mambo muhimu, isipokuwa mpira, tena wa miguu tu! Bahati njema siku hizi kuna TV ambazo, more and more, Watanzania wanapata uwezo wa kununua. Ndiyo hapa mtu mwenyewe anaweza kugundua uhalisia wa kuchelewa kwetu.

Katika vita vya sasa baina ya Israeli na Hamas, kitu kilich0nistaajabisha ni hospitali za Gazza. Kipande hicho cha ardhi kilichozuiwa aina yoyote ya maendeleo na Waisraeli, hata kuingiza chuma ni marufuku....kina hospitali nzuri, zenye vifaa kuliko hospitali yoyote Tanzania!

Tena wana hata Ambulance nyingi, safi, zinaz0fanya kazi! Najua, kuna watu watasema, 'ah, lakini hao ni Waarabu wanapewa pesa na wenzao!' Si kweli, Tanzania inapokea mara sita fedha za msaada kuliko Gazza! Tofauti ni kuwa kwa Gaza hicho kidg kinachopatikana chatumiwa kwa lengo lake, bas!
Ndugu yangu huko gaza uwekezaji mkubwa ni kwenye afya na jeshi kwa hali halisi ya kwao..
Hapa kwetu mambo ni mengi.
 
Watanzania wengi wamenyweshwa propaganda kuwa nchi imeenedelea mno chini ya CCM, na kwamba bad0 tunachanja mbuga! Maskini! Baada ya CCM kuwanyang'anya lugha ya pili, Kiingereza, ambayo angalau wangeweza kufuatilia masuala ya Kimataifa na jinsi maisha yalivyo kwa wengine, uwezekano pekee wa kuyajua hayo ni kwa kusafiri nje.

Lakini hata kusafiri nje aghalabu kunataka elimu, lugha, fedha na mawasiliano, si wengi wenye bahati hiyo. Matokeo yake raia wengi wa Tanzania ni mbumbumbu wa mambo muhimu, isipokuwa mpira, tena wa miguu tu! Bahati njema siku hizi kuna TV ambazo, more and more, Watanzania wanapata uwezo wa kununua. Ndiyo hapa mtu mwenyewe anaweza kugundua uhalisia wa kuchelewa kwetu.

Katika vita vya sasa baina ya Israeli na Hamas, kitu kilich0nistaajabisha ni hospitali za Gazza. Kipande hicho cha ardhi kilichozuiwa aina yoyote ya maendeleo na Waisraeli, hata kuingiza chuma ni marufuku....kina hospitali nzuri, zenye vifaa kuliko hospitali yoyote Tanzania!

Tena wana hata Ambulance nyingi, safi, zinaz0fanya kazi! Najua, kuna watu watasema, 'ah, lakini hao ni Waarabu wanapewa pesa na wenzao!' Si kweli, Tanzania inapokea mara sita fedha za msaada kuliko Gazza! Tofauti ni kuwa kwa Gaza hicho kidg kinachopatikana chatumiwa kwa lengo lak
Watanzania wengi wamenyweshwa propaganda kuwa nchi imeenedelea mno chini ya CCM, na kwamba bad0 tunachanja mbuga! Maskini! Baada ya CCM kuwanyang'anya lugha ya pili, Kiingereza, ambayo angalau wangeweza kufuatilia masuala ya Kimataifa na jinsi maisha yalivyo kwa wengine, uwezekano pekee wa kuyajua hayo ni kwa kusafiri nje.

Lakini hata kusafiri nje aghalabu kunataka elimu, lugha, fedha na mawasiliano, si wengi wenye bahati hiyo. Matokeo yake raia wengi wa Tanzania ni mbumbumbu wa mambo muhimu, isipokuwa mpira, tena wa miguu tu! Bahati njema siku hizi kuna TV ambazo, more and more, Watanzania wanapata uwezo wa kununua. Ndiyo hapa mtu mwenyewe anaweza kugundua uhalisia wa kuchelewa kwetu.

Katika vita vya sasa baina ya Israeli na Hamas, kitu kilich0nistaajabisha ni hospitali za Gazza. Kipande hicho cha ardhi kilichozuiwa aina yoyote ya maendeleo na Waisraeli, hata kuingiza chuma ni marufuku....kina hospitali nzuri, zenye vifaa kuliko hospitali yoyote Tanzania!

Tena wana hata Ambulance nyingi, safi, zinaz0fanya kazi! Najua, kuna watu watasema, 'ah, lakini hao ni Waarabu wanapewa pesa na wenzao!' Si kweli, Tanzania inapokea mara sita fedha za msaada kuliko Gazza! Tofauti ni kuwa kwa Gaza hicho kidg kinachopatikana chatumiwa kwa lengo lake, bas!
Duu! eh bwana hata mimi nashangaa, hawa jamaa hela wanatoa wapi, kwanza maghorofa mwanzo mwisho kama Kariakoo nchi nzima!
Pili ni std ya maisha ya watu wao, wote wamevaa smart na wanaonekana heathy, sisi wenye ardhi, maziwa, milima na madini, sijui tunakosea wapi?

Pili, std ya maisha ya watu wao, watu wote wamevaa smart na wanaonekana healthy
 
Back
Top Bottom