Watz wengi wamechakazwa na umaskini left and right, siwezi walaumu maana kwa hawa kuchagua viongozi vs kuangalia the possibility of the next meal could be a big dilemma to them. Wa kulaumiwa kwa asilimia MIA MBILI ni wale wenye nafasi na nyenzo za kuwasaidia hawa maskini wa hali, mali na kifikra lakini HATUCHUI HATUA YEYOTE. Tunamaintain status quo na elitism na kusahau wajibu wetu la kushape future ya taifa hili. Inasikitisha lakini ndio ukweli.