Kipimajoto ITV Live

Kipimajoto ITV Live

Dr. Mateso anasema kiongozi mzuri ni yule anayesikiliza zaidi kuliko kuzungumza, hapa anachangia hoja kutoka kwa mchangiaji kuwa spika anatumia nguvu nyingi kuzima hoja za msingi, kama vile leo alivyokataa bunge kujadili ishu ya milipuko.
 
Dkt. Mateso anaponda mambo ya kubadilibadili kanuni za bunge ili kufeva na kubana kundi au chama flani.
 
Dr. Mateso anasema kiongozi mzuri ni yule anayesikiliza zaidi kuliko kuzungumza, hapa anachangia hoja kutoka kwa mchangiaji kuwa spika anatumia nguvu nyingi kuzima hoja za msingi, kama vile leo alivyokataa bunge kujadili ishu ya milipuko.

jamaa ni jembe kwelikweli.

ila hapo kuna 'chawa' mmoja ana mawazo mgando kama siagi. eti bunge kujadili hoja lazima wabunge wapate taarifa ya kamati kwanza.

huyu jamaa ni kilaza kweli kweli.
 
Simwelewi kabisa huyu bana. Mi nadhani kuwa Dr bila critical thinking ni useless. Huyu jamaa anaiabisha hata familia yake. Bana sio analytical kabisa wakuu. What a pity.

UNAPOFICHA UKWELI NDIVYO INAVYOKUWA. Anaongea ili Mkwere afurahi
 
Prof. Baregu anasema imefika wakati privatization imekuwa personalization
 
Mfarisayo hongera kwa ku update watu. Kudos
 
UNAPOFICHA UKWELI NDIVYO INAVYOKUWA. Anaongea ili Mkwere afurahi

bana haamini kama kujadili hoja ya mabomu ingejadiliwa bungeni ingesaidia hata hizo kamati za ulinzi na usalama kupata input.

anampiga vijembe prof.
 
Dr. Peter anakosoa ubovu wa serikali kulipa wabunge mapesa mengi na kuuliza nani katufikisha hapo
 
Dr. Peter anakosoa ubovu wa serikali kulipa wabunge mapesa mengi na kuuliza nani katufikisha hapo

anasema pengine mapesa hayo yanawapumbaza baadhi ya wabunge (hapa najua tu anamaanisha kina john komba) na kuwafanya kuwa loyal(watiifu) kwa serikali kinafiki
 
Mchangiaji simu ya mwisho: SPIKA ANAJARIBU KUUA NGUVU YA CDM.

Watu hawapendi spika aendavyo, cdm wako right kutoka nje.

Spika aweke maendeleo ya taifa mbele
 
Bana anamtetea makinda kuwa ni mtulivu, msikivu sana

This is srepa points
 
Malila kahitimisha kwa kuwaonya wabunge wa ccm waeche kuturudisha misri, wasitutoneshe vidonda vya richmond na dowans kwa kushabikia tu hoja kuwa imepita bila sababu za msingi
 
CONCLUSION
Bana: spika ni mtu makini

mama Catherine: wabunge CCM wametufikisha kwenye Dowans sababu ya kukubali hoja bila kupinga. Mama Makinda akipindisha Mungu atanyoosha kwa namna nyingine

dr. Mateso: viongozi serikalini wabadilike The biggest room in the world is a room for improvement
 
To be honest i have negative attitude with dr Bana. Mbaya zaidi anamuunga mkono makinda kwa kuzima hoja ya lissu eti wabunge wasingeweza kujadili kabla ya uchunguzi kufanyika kwa maana hiyo hawakua na pa kuanzia!!
 
Mbona unaanza huharibu thread yetu? Shirikisha ubongo mkuu!

DOWANS WALICHUKUA UMEME. Kuwasha generator nikakuta Mfarisayo anatoa data. Nikampa hongera. Samahani kama nimekukwaza mkuu
 
Bana na Makinda wote hawana akili timamu

Catherine/Dr Mateso/ Baregu: thumb up; good work
 
Back
Top Bottom