Kipima joto

Kipima joto

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,372
Mmeoana na unapendana na mpenz wako,ila mtu anawasumbua sana kwenye penz lenu ingawa mna msimamo,siku moja ukaenda kuwinda porini,ukamwona swala na ukaamua kumpiga risasi,swala akakwepa,kumbe nyuma ya yule swala kwa mbali kulikuwa na mwindaji mwingine,kwa hiyo swala alipokwepa risasi ikampiga mwindaji mwingine na kufa hapo hapo,duh kwa mbali yule ambaye alikuwa anawavuruga kwenye penzi akatokea,akasema lazima nitasema ulimwua makusudi na mna bifu,bila hivo nifanye mapenz na mpenz wako mara moja tu,halafu we ndo umtongozee yeye mpenz wako,wanafanya mapenz,but kila siku anataka arudie mchezo bila hivo atasema we mdo uliua.....hapo utafanyaje?uende jela ya maisha yako yote au umegewe?
 
Ningekua mimi ningemuua na yeye, ni baki na mpenz wangu 2kijinafasi kwa raha ze2
 
ua ushahidi...
hapewi hata nafasi ya kumchakata m2 wangu...
 
Hakuna mbaya nzuri mbaya ni mbaya tu, dawa ni kumtambaliza na yeye pia
 
swali jepesi hata taahira anajua afanyeje
 
Kwanza ukimuua itakuwa ni 'self-defence'. Unadefend penzi lenu.
 
Mmeoana na unapendana na mpenz wako,ila mtu anawasumbua sana kwenye penz lenu ingawa mna msimamo,siku moja ukaenda kuwinda porini,ukamwona swala na ukaamua kumpiga risasi,swala akakwepa,kumbe nyuma ya yule swala kwa mbali kulikuwa na mwindaji mwingine,kwa hiyo swala alipokwepa risasi ikampiga mwindaji mwingine na kufa hapo hapo,duh kwa mbali yule ambaye alikuwa anawavuruga kwenye penzi akatokea,akasema lazima nitasema ulimwua makusudi na mna bifu,bila hivo nifanye mapenz na mpenz wako mara moja tu,halafu we ndo umtongozee yeye mpenz wako,wanafanya mapenz,but kila siku anataka arudie mchezo bila hivo atasema we mdo uliua.....hapo utafanyaje?uende jela ya maisha yako yote au umegewe?

Yaani mbaya wangu amejileta mwenyewe porini?! Opportunity presenting itself, tena nini sasa. Mapema kabla ya hata hajasema ameona nimeua. atasemea kwa Sir God!
 
Nafikiri majibu yanaridhisha. Au mwenzetu risasi ndo ilikuwa moja?
 
mimekubali mawazo ya wengi ni kuua yeye, lakini je kama ndiyo ilikuwa risasi ya mwisho unafanyeje ile ya kumpiga swala ambayo iliua mtu?
 
Yaliyomkuta marehehemu Chacha .. baada ya kumuona live Balali USA unayajua wewe?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom