"Kipima Joto ITV utumbo tu!"

"Kipima Joto ITV utumbo tu!"

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
951
Kipima joto ITV kinauliza: "Kukithiri kwa tatizo la Rushwa, Je kuanzishwa kwa Mahakama ya "TAKUKURU" kutasaidia?!"

Hivi Waandaaji wa hivi vipima joto ITV wanafikiri za kisomi? Wameshindwa kujua "TAKUKURU" ni Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa na kwamba Mahakama ya Takukuru ni "Mahakama ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa?!"..inamaani gani kwa swali hili la kipima joto. Hivi tunaweza kuwa na mahakama ya Taasisi!?
 
wame advance sana katika upimaji joto hata mie nataka wajenipima joto langu la kwapani maana nahisi naweza choma mhindi kwakutumia joto langu la kwapani....
 
Hivi hiki kipindi kina tija kweli kwani sioni maoni kama yanafanyiwa kazi
 
wame advance sana katika upimaji joto hata mie nataka wajenipima joto langu la kwapani maana nahisi naweza choma mhindi kwakutumia joto langu la kwapani....

mkuu na wewe umeingia kwenye "JOTO"..??
 
wa kulaumiwa ni hosea kwani ndiye aliyeomba kuwe na mahakama maalum ya kushughulikia kesi za rushwa.
 
Back
Top Bottom