Kipima joto cha leo.....




klorokwini my hubby dubby handisam wa ukweee sweetlady anataka kujinyonga juu ya kupotea kwako.

wewe jichimbie huko huko apete joto ya jiwe kidogo. na akikupa umbea kuwa nina mimba usimsikize. mwaaaaaaah.
 
Last edited by a moderator:

Siamini macho yangu darling klorokwini .....yaani umewezaje kupita hapa bila kuacha zawadi ya busu?????.... Erotica wewe umeridhika?
 
Last edited by a moderator:
klorokwini my hubby dubby handisam wa ukweee sweetlady anataka kujinyonga juu ya kupotea kwako.

wewe jichimbie huko huko apete joto ya jiwe kidogo. na akikupa umbea kuwa nina mimba usimsikize. mwaaaaaaah.

Khaaaa!!!! mke mwenza Erotica ni wewe au kuna mtu kaiba p'word yako???? mbona watokwa na maneno makali hivyo?? na toka lini mie na wewe tukaanza kufanyiana umbea??....afu kumwambia klorokwini ajichimbie sio vizuri wewe wajua fika kuwa kwa sasa sili, sinywi, siogi wala silali kwa kumkosa lahazizi! Tafadhali mwambie arudi aache japo buthu tu roho yangu itaridhika!
 
Last edited by a moderator:

sweetlady hapa ilikuwa sio mimi, hawa mapacha wananifanisha mambo

ya kutojitambua. mie na wewe? come this way mamito. mwaaaaaah.
 
Last edited by a moderator:
Hehehe nilijua tu msala ndio unakufanya umsukumize aende......lol


umeona eeh? mwanzato hata open marriage kuna vitu vina mpaka. teh teh teh.

ikanifanya niingie na woga na kusahau kuwa sie hatudhuriani..
 
Erotica na sweetlady wazima nyie?? nimewamisijeee?? nilikuwa kitaa weekend nzima ndio nimerudi town, wasalimieni muwapendao, ero how are the twins doing?

cacico mamito nilikumisije hasa hayo macho yako? mie mzima na the

twins enjoying huduma nawapatia from inside and out. uwapendao wazima mamie?

unaona mm na mwenzato tunavopendana? hadi raha ndani ya roho.
 
Wenye wivu na wajinyonge tu jamani lol.....eti oooh hakunaga mtu ma mke mwenzie wanaopendana khaaa....mbona mie na wewe twapendana kwa dhati?....:teeth:


hao washamba mamito. hawajui bora tu ukabali moja umjue mwenzio gharama ni nafuu

kidogo ki fizikia na baiologia kuliko kujifanya hujui hali ipo wazi yupo mwengine. alielala

usimwmshe wacha tujipe raha wenyewe na hubby dubby wetu klorokwini.

tena safari hii akirudi siku mbili za mwanzo tuna lala wote wa3 kusaidia kumkanda kanda uchovu wa safari.
 
Last edited by a moderator:

Hehehehehe hapo red Mwaaaaaaaaaaaaaah!..... klorokwini hebu kuja basi tukupe raha!
 
Last edited by a moderator:
cacico mamito nilikumisije hasa hayo macho yako? mie mzima na the

twins enjoying huduma nawapatia from inside and out. uwapendao wazima mamie?

unaona mm na mwenzato tunavopendana? hadi raha ndani ya roho.
weekend hii, nilitoka was hukooooo kuwaona parents na twins, ndio haswaaa nimerejea, nipo nanywa uji wa kungu ndio haswaaa kitulizo changu, huku namngojea shemeji yenu! lolest! kises kwa twins, waambi aunt cacico anawapendaje sasa??
 
Last edited by a moderator:
Siamini macho yangu.....we cacico ina mana na jumapili ya leo kadogoo humpitii???.....keshaoga ujue! Mie mzima wa afya wewe je?
sweetlady, kadogoo mzima?? mwambie mama yake wa ubatizo yupo huku, bussyyy kuandaa huo ubatizo wenyewe, by the way huyo @klorokwin ndiye baba kadogoo? tujuzane basi!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…