Kipima Joto Cha ITV

Kipima Joto Cha ITV

Nikirudi katika hoja toka mara ya kwanza naangalia kipimajoto nilitatizwa nacho. Ukiachia mbali watu wanaoshiriki katika kujibu bali hata maswali yenyewe ni very leading questions. Yaani maswali ambayo huwa yanaulizwa hayajakaa kitaalamu kabisa na unweza kupredict majibu yatakuwaje kwa mfano wanaweza kuuliza swali MAUAJI YA VIKONGWE JE WAUAJI WAADHIBIWE VIKALI? Sasa kitka swali hilo unategemea kuwa watasema hapana? Mi naona data zao wale watu ni za kupika zaidi sidhani kama kuna mwamko kiasi hiko cha kujibu yale maswali yao
 
Sitaki kusema ukweli labda niseme uwongo.Lakini kama ni lazima niseme ukweli, ubabaishaji mkubwa upo katika kipima joto.Tunasema ubabaishaji kwa kuwa kila silimia lazima iambatane na idadi. Hiyo idadi inatiwa kapuni.Kisa sote tunajua.Mwenye nyumba anataka anachotaka na wakati mwingien huhitaji kufundishwa hilo utaliona tu. Mathalani unaenda kumuuliza mkulima wa nyanya anafaidika nini na madini ya Shinyanga. Unadhani atakujibu nini? hana habari kuw ahata sindano tunaagiza urayaaaaa. Ahh tuache hayo.Mimi najua hawezi kuweka idadi wanasema uwongo kukidhi matakwa yao.Mtu moja mbili tatu halafu idadi hilo>..... suala la kulinganisha lipo tu si taaluma bwana? hiki kijiji kama hatuwezi kulinganisha basi hata hii domokrasia yetu haina maana yoyote tumeiga tuko kwa wamirikani.. waingirizi na wchinachina kama si virusi.
 
Hali za watangazaji sio nzuri. Kipato chao kidogo wanafanya kwa sababu hamna jinsi. It's high time mainstream media ibadilike Tanzania kwani kama agenda setters and source of news hawatutendei haki wananchi. The reporting is half baked na mara nyingi stori zenyewe hazieleweki. Investigative stories nazo hazichunguzwi zikafikia mwisho. Hili ni tatizo ambalo wamiliki wa vyombo vya habari wanabidi walishughulikie kwa haraka kwani wawekezaji kutoka kwa watani wetu wakija now that the East African Community intergration is inevitable they will lose most of these journalists coz wote watakimbilia kwenye hela.

Duh!......Na fedha inayo patikana kwenye kipima joto hata haijulikani...
 
Nikirudi katika hoja toka mara ya kwanza naangalia kipimajoto nilitatizwa nacho. Ukiachia mbali watu wanaoshiriki katika kujibu bali hata maswali yenyewe ni very leading questions. Yaani maswali ambayo huwa yanaulizwa hayajakaa kitaalamu kabisa na unweza kupredict majibu yatakuwaje kwa mfano wanaweza kuuliza swali MAUAJI YA VIKONGWE JE WAUAJI WAADHIBIWE VIKALI? Sasa kitka swali hilo unategemea kuwa watasema hapana? Mi naona data zao wale watu ni za kupika zaidi sidhani kama kuna mwamko kiasi hiko cha kujibu yale maswali yao

Sijui hawasikii.....!!!...na sijui nani alikibuni....
 
kipima joto ni usanii mtupu maana hawato statistics za kueleweka wanakwambia waliosema ndio ni asilia labda 70 ,hapana 10 its obvious wasiojua lolote ni 20 percent sasa hata kama walioulizwa ni watano, katika hesabu utapata majibu lakini hayapo realistic,wao wanatufanya sisi watoto.usanii tu kipima joto hiko.mimi naamini wananchi response yao ni ndogo na wakati mwingine watakuwa wapika matokeo,bongo utata.
 
Huwa napata shida sana kuona kipima joto chao na matokeo yao na maswali yao kweli ni shida sana
 
wazee mumegusa penyewe, naomba niiweke hivi, taarifa ya habari especially itv ni mbovu kuliko zote duniani, kwanza habari yenyewe ni moja tu kwa siku, lakini mambo yanakimbizwa utadhani mwandishi kabanwa na mkojo, sioni hata maana ya hizi news, basi ni summary yani, imagine habari za afrika mashariki hivi itv mnatuonyeshaga nini? Hakuna hata aibu? Kama vipi si museme tulipie kama tv za nchi zingine ili tuwe na usemi? Bora star tv kiasi wanajua kufafanua habari na kutranslate,pia tbc, but itv naina mashka na wandishi wao wa habari pia wahariri wao,kama kweli wana elimu stahili,poor you
labda ndivyo walivyo....or? Money may be?
 
Inawezekana kwa kushirikiana kipimajoto ikawa ni kitu tunacho kihitaji.... Itv fikirieni kufanya kazi na taasisi ya takwimu ya taifa.(au sijui ni kitu gani)..au niandikieni ninayo mawazo!!
 
Back
Top Bottom