Kipigo

Mgirik

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
13,204
13,183
Inaelezwa kwamba aliyekuwa waziri mkuu ktk serikali ya rais aliyeondolewa madarakan Omar Alba shir wa sudani amepokea kipigo kutakatifu toka kwa raia wa nchi hyo
 
Ni fundisho kwa watawala wengine wa Africa.

Usiombe kuchokwa na raia, maisha yasiyoeleweka huwa ni somo kubwa kwa raia kuliko hata kuhamasishwa.

Leo hii utawala wa Al Bashir na viongozi waliokuwa madarakani, wananaonekana adui kwa raia wote.
 
Duuh!!hii inadhihirisha ni kiasi gani wananchi wanakuwa na hasira
 
Huu ni unyama! Wafuate taratibu! johnthebaptist

Unyama siku zote huonekana kwa mnyonge anapojaribu kujitetea au kutoa hasira zake?? Wanyonge wanaponyanyaswa ni sawa!!?

Hao walikuwa viongozi madikteta, wameua watu na kukatisha ndoto za wengi!!

Wanyonge wameamka, njia pekee ya kutoa machungu ya kuuwawa kwa wazazi, ndugu, marafiki na wengineo wawapendao ni hiyo!!

Hakuna unyama hapo unless useme yeye hakuwa katika serikali ya Dikteta Bashir!!

Mnasahau kuwa ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga??
 
Inaonekana unatumia imani ya dini fulani... kata shingo..... Yanayofanyika hapa kila waziri atapigwa mawe ikitoa kama Sudan? Is tha tjustifiable? Kila waziri anau?
 
Sina imani za dini yoyote kiongozi ila uonevu sipendi kabisa!! Roho huniuma sana ninapoona mtu anaonewa, sasa hao wamekula msoto miaka karibu 30, yaan hapo kama ni kizazi kishaharibiwa chote ndipo muanze kujipanga sasa!!

Pata picha, mlishatoka dingi kakamatwa kauawa kwa sabau tu za siasa na interest za watu! Mmerudi mtaani mnapiga magumashi tu channels zote kwisha, 😠😠😠😡

Sikuachi maanina yaan nakutafutia angle nakumaliza kimyakimya tu!! Halafu Mungu atatueleza mbele ya safari nani mkosaji kati ya aliyechokoza au aliyelipiza!!
 
Nakuelewa sana tena sana. Watu wameteseka sana tena sana kama watu walivyoteseka miaka hii 3 ya hapa. Lakini kila aliye katika serikali hii apigwe mawe in case it happens?
 
Kama sijakosea unamaanisha 'hii'! Nina mtizamo tofauti mkuu, serikali hii wa kwanza kupigwa mawe ni "wasomi" wanaojiita mapro-pesa wanao-challenge serikali wakiwa nje then wakigaiwa keki kidogo tu wanayakana maneno yao!

Mapro-pesa waliokana elimu zao kwa kuendekeza njaa na kufanywa viroja mbele ya jamii, hao ndio nina hasira nao!

Jiwe katufunua sana kuhusu wasomi wetu kwa kuwapachika vyeo na tumewaona wanavyojikataa. Tanzania haina wasomi!!

Hawa wengine watatoka kwa mujibu wa katiba, kila utawala na zama zake!! Huyu sera yake iko hivyo, lazima tukubaliane nae mwisho wa siku nae ataondoka! Atakuna mlaini kama JK nae tutakwenda nae sawa tu!! Hakuna shida

Labda ibadilishwe katiba tuongozwe nae milele hapo kuanzia yeye na wafuasi wake tutawachoma moto!! Kwa sasa tupo kwenye raiti traki!!
 
Back
Top Bottom