Tumewaachia vita hii CCM na CDM naona ndo nyie wa Lumumba mnavyotaka, mnawapa sifa sana CDM kwani hata vitu mlivyofanya kwa upumbavu wenu nyie CCM wenyewe leo mnataka tena kuwasingizia CDM , wakati wakipigania haya miaka kadhaa iliyopita Mazombie wa mule mjengoni walikuwa wakishangilia na vigelegele kibao kwa ndioooooooo za nguvu. Leo mapovu yanawatoka, kaaazi kwelikweli kuongozwa na watu wa aina hiyo. Tunasubiri trilioni 110, nchi ya kufikirika