Kipigo walichokipata CHADEMA kwenye Sakata la Mchanga, Kitaipeleka Kaburini Moja kwa moja

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,724
2,000
Huku Mtaani CHADEMA wamekosa Umaarufu mtaani wameshapata Usemi kuwa CHADEMA Wanashirikiana na Mafisadi.

Hivi karibuni ripoti za Mchanga zimekifuta chama cha CHADEMA and bouncing back is Unlikely na Uchaguzi wa 2020 mtapoteza Wabunge wengi na 2025 chama kitakua kimesahaulika miongoni mwa watanzania.

Nawashukuru wananchi wanamuunga Mkono Rais Magufuli kwa juhudi zake za Kulinda Rasilimali za Nchi.
IMG_20170508_143528.jpg
 
ruhi

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
2,479
2,000
Hao wananchi unaowazungumzia wamepata chakula lakini? isije kua unazungumza na watu walioshinda jaa wakaona wakujibu bila kutumia akili ili yaishe.

Sasa watu washangulie wakati adi muda huu dakika ya 50: TZ 0: ACC 0.
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
20,744
2,000
Huku Mtaani CHADEMA wamekosa Umaarufu mtaani wameshapata Usemi kuwa CHADEMA Wanashirikiana na Mafisadi.

Hivi karibuni ripoti za Mchanga zimekifuta chama cha CHADEMA and bouncing back is Unlikely na Uchaguzi wa 2020 mtapoteza Wabunge wengi na 2025 chama kitakua kimesahaulika miongoni mwa watanzania.

Nawashukuru wananchi wanamuunga Mkono Rais Magufuli kwa juhudi zake za Kulinda Rasilimali za Nchi.
Wananchi wa wapi hao? Watanzania wote wanajua kuwa vita ya makinikia si vita mpya imeanza tokea 1998 lakini CCM waliipuza kwa kuwa kila Rais alikuwa na mbinu zake za kula cha juu na Rushwa ya madini, mkapa alikula chake akatoka alipoingia Kikwete akarekebisha mikataba kidogo na yy akavuna chake huyu wa sasa kaja na mbinu zake za mikwara akiwa na lengo lile lile la kuvuna huku akitaka mikataba mipya ili baadae atembelee migodi yote apewe mapande ya dhahabu kama alivyofanya Mkapa akauze apate pesa za kumalizia kujenga uwanja wa ndege Chato na kuwagawia familia zake, hujidai wana uchungu na Taifa lakini hata hizo pesa zikija hakuna mtanzania atajua matumizi yake kwa macho live tutaishia kusikia story kama pesa za chenji ya Rada ambazo zilipigwa na Wajanja kimara kimya, watanzania wengi wana imani na chadema wanajua kuwa wabunge wa CCM ndiyoooo.. walipitisha mikataba mibovu ambayo imeleta umasikini wa Taifa hili ni wajinga wachache wanaweza kuibeza chadema kama wewe.
 
Topintz

Senior Member
Aug 2, 2013
165
1,000
Yani kuna waTz mna akili za ajabu. Kwa hiyo CDM kureason mikataba ya nchi mnaona ni kosa mnamshambulia Lissu? Wakat kamat ya pili maagizo aliyotoa rais ndo hayo aliyokua anapigania Lissu siku zote. Kwa akili hizi tuctegemee viwanda anytym soon. Nchi zote zilizoendelea ni democracy imefanya kazi. Mfano ni marekani, bungeni hadi wa chama kimoja wanapingana kwa maswala ya kitaifa. Huku wanalumumba mnataka anachosema Rais bac ni kitukufu kicwe reasoned. Haya subirini bac atakuja malaika kureason hela za bombardier na ikulu ya chato.
 
Tutashitakiwa Tutashitashitakiwa
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
20,744
2,000
Watanzania wengi wanajua Ukweli kuwa vita dhidi ya wizi wa madini ilianzishwa na chadema na mpaka sasa chadema wana msimamo mkali kuliko CCM wenye kujidai wana uchungu kumbe wana ajenda za Siri wamemtuma kikwete kwenda Canada kutengeneza njia za kuvuna pesa kimya kimya yaani CCM ni shiiiiida.
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
30,463
2,000
17% ya chadema na 71% ya JPM ilikuwa kabla ya sakata la mchanga! Tegemea chadema kuwa na 3% sasa hivi na 94% kwa JPM!
 
ngoma ya ukae

JF-Expert Member
Feb 8, 2017
613
1,000
Mbona huku kwetu.ndio kwanza ngoma inogile kila mmoja anaimba CHADEMA. ..CHADEMA. ..CHADEMA 2020 njia ni nyeupe.
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
30,463
2,000
Watanzania wengi wanajua Ukweli kuwa vita dhidi ya wizi wa madini ilianzishwa na chadema na mpaka sasa chadema wana msimamo mkali kuliko CCM wenye kujidai wana uchungu kumbe wana ajenda za Siri wamemtuma kikwete kwenda Canada kutengeneza njia za kuvuna pesa kimya kimya yaani CCM ni shiiiiida.
Tutashitakiwa, au unasemaje?? Mange kasemaje nae au bado hajawalisha matango??
 
Topintz

Senior Member
Aug 2, 2013
165
1,000
Tutashitakiwa Tutashitashitakiwa

Kwa hiyo kama hatujashtakiwa ina maana Lissu ni muongo? Mikataba yoyote yenye terms za kimataifa na za kinyonyaji kama ule lazima wazungu wawe na loophole za kutokea. Bac tungeuvunja huo mkataba alaf tuone inakuaje, mbona tumekubal mazungumzo? Au unazan JPM hana akili mpaka kakubal kukaa chini kuongea nao? Angeterminate contract kama anvofanyaga kwny mikataba ya wabongo. C wakandarasi wa barabara wakizinguaga tunavunja? Tungefanya ivo na pale tuone where it leads. Lissu aliwafungua macho na JPM acted accordingly, bila kelele zile leo habari ingekua nyngn.
 
ostrichegg

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
9,997
2,000
Huku Mtaani CHADEMA wamekosa Umaarufu mtaani wameshapata Usemi kuwa CHADEMA Wanashirikiana na Mafisadi.

Hivi karibuni ripoti za Mchanga zimekifuta chama cha CHADEMA and bouncing back is Unlikely na Uchaguzi wa 2020 mtapoteza Wabunge wengi na 2025 chama kitakua kimesahaulika miongoni mwa watanzania.

Nawashukuru wananchi wanamuunga Mkono Rais Magufuli kwa juhudi zake za Kulinda Rasilimali za Nchi.
View attachment 525537
Uchunguzi wako ulifanyia wapi?
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
41,289
2,000
Huku Mtaani CHADEMA wamekosa Umaarufu mtaani wameshapata Usemi kuwa CHADEMA Wanashirikiana na Mafisadi.

Hivi karibuni ripoti za Mchanga zimekifuta chama cha CHADEMA and bouncing back is Unlikely na Uchaguzi wa 2020 mtapoteza Wabunge wengi na 2025 chama kitakua kimesahaulika miongoni mwa watanzania.

Nawashukuru wananchi wanamuunga Mkono Rais Magufuli kwa juhudi zake za Kulinda Rasilimali za Nchi.
View attachment 525537
tapatalk_1497551198308.jpeg

tapatalk_1497522863749.jpeg

BATAZZZ.jpg
 
Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,780
2,000
Vita halali ya kupigania utajiri wa Nchi ikiongozwa na Jemedari mwenye MAARIFA NUSU, anayeshauriwa na makamanda wenye ELIMU NUSU na kushangiliwa na wanasiasa Mazwazwa Kwa kutumia uongo wa dhahiri ni vita ya kushindwa.
Vita halali ya kupigania rasilimali za Nchi inapaswa kuongozwa Kwa kutumia akili. Bahati mbaya Sana, kwenye nchi inayolea na kuendekeza ujinga, kuwa na akili ni uadui Kwa jamii, na ni hatari.
Linex Sunday Mjeda alipata kuimba " mwehu anapochoma nyu moto mba ili aote moto.

By Zitto Kabwe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom