Kipigo walichokipata CHADEMA kwenye Sakata la Mchanga, Kitaipeleka Kaburini Moja kwa moja

Tumewaachia vita hii CCM na CDM naona ndo nyie wa Lumumba mnavyotaka, mnawapa sifa sana CDM kwani hata vitu mlivyofanya kwa upumbavu wenu nyie CCM wenyewe leo mnataka tena kuwasingizia CDM , wakati wakipigania haya miaka kadhaa iliyopita Mazombie wa mule mjengoni walikuwa wakishangilia na vigelegele kibao kwa ndioooooooo za nguvu. Leo mapovu yanawatoka, kaaazi kwelikweli kuongozwa na watu wa aina hiyo. Tunasubiri trilioni 110, nchi ya kufikirika
 
Tutashitakiwa Tutashitashitakiwa
FB_IMG_1494474927818.jpg
 
Watanzania wengi wanajua Ukweli kuwa vita dhidi ya wizi wa madini ilianzishwa na chadema na mpaka sasa chadema wana msimamo mkali kuliko CCM wenye kujidai wana uchungu kumbe wana ajenda za Siri wamemtuma kikwete kwenda Canada kutengeneza njia za kuvuna pesa kimya kimya yaani CCM ni shiiiiida.
umeanza kufuatilia siasa lini?!..lipumba kamuandama ben tangu 1990s kuhusu uwekezaji
 
Huku Mtaani CHADEMA wamekosa Umaarufu mtaani wameshapata Usemi kuwa CHADEMA Wanashirikiana na Mafisadi.

Hivi karibuni ripoti za Mchanga zimekifuta chama cha CHADEMA and bouncing back is Unlikely na Uchaguzi wa 2020 mtapoteza Wabunge wengi na 2025 chama kitakua kimesahaulika miongoni mwa watanzania.

Nawashukuru wananchi wanamuunga Mkono Rais Magufuli kwa juhudi zake za Kulinda Rasilimali za Nchi.
View attachment 525537
Mkuu usisahau utafiti wa ile taasisi yenu pendwa ya [HASHTAG]#Hamuwezi[/HASHTAG], kwamba : FISIEMU mnakubalika zaidi kwa wazee, wajinga, vilaza, mamburulazzz nk....ni dhahiri shahiri wewe ni mmoja wao!
 
Huku Mtaani CHADEMA wamekosa Umaarufu mtaani wameshapata Usemi kuwa CHADEMA Wanashirikiana na Mafisadi.

Hivi karibuni ripoti za Mchanga zimekifuta chama cha CHADEMA and bouncing back is Unlikely na Uchaguzi wa 2020 mtapoteza Wabunge wengi na 2025 chama kitakua kimesahaulika miongoni mwa watanzania.

Nawashukuru wananchi wanamuunga Mkono Rais Magufuli kwa juhudi zake za Kulinda Rasilimali za Nchi.
View attachment 525537

Wewe umeshazoeleka kwa posti zako za kijinga jinga. Labda unaota bichwa atakufikiria kwa kuleta huu uharo.
 
Watu wengine walizaliwa kwa bahati mbaya. Yaani na wewe mleta mada mzazi anajisifu ana mtoto? Na mumeo anasema Nina mke? Unafanya tathmini ya kukubalika kwa CHADEMA kwa kutumia sample ya Wana ccm?
 
mzee kikwete kaenda canada kuweka mambo sawa eeh. kwa kweli sina imani na wastaafu wetu kamwe....
 
Kwa hiyo kama hatujashtakiwa ina maana Lissu ni muongo? Mikataba yoyote yenye terms za kimataifa na za kinyonyaji kama ule lazima wazungu wawe na loophole za kutokea. Bac tungeuvunja huo mkataba alaf tuone inakuaje, mbona tumekubal mazungumzo? Au unazan JPM hana akili mpaka kakubal kukaa chini kuongea nao? Angeterminate contract kama anvofanyaga kwny mikataba ya wabongo. C wakandarasi wa barabara wakizinguaga tunavunja? Tungefanya ivo na pale tuone where it leads. Lissu aliwafungua macho na JPM acted accordingly, bila kelele zile leo habari ingekua nyngn.
Ukweli wanaujua lakini hawawezi kuukubali. Yaani kumpa credit Lissu kwao haiwezi kutokea. Leo hii akija mwanaCCM mmoja au mpinzani hewa kama Lipumba akasema vile alivyosema Lissu, tayari atapongezwa kwa weledi wa hali ya juu. Hii tumeshazoea wala hakuna sababu ya kutegemea maziwa toka kwa Faru John wajkati tunajua kabisa kuwa dume halina kawaida ya kutoa maziwa.
 
Huku Mtaani CHADEMA wamekosa Umaarufu mtaani wameshapata Usemi kuwa CHADEMA Wanashirikiana na Mafisadi.

Hivi karibuni ripoti za Mchanga zimekifuta chama cha CHADEMA and bouncing back is Unlikely na Uchaguzi wa 2020 mtapoteza Wabunge wengi na 2025 chama kitakua kimesahaulika miongoni mwa watanzania.

Nawashukuru wananchi wanamuunga Mkono Rais Magufuli kwa juhudi zake za Kulinda Rasilimali za Nchi.
View attachment 525537
walioanzisha vita hii wakiwa na akili kama ya mtoa mada
natabiri kushindwa kwa vita hii kama ilivyokuwa kwenye katiba mpya,
 
Huku Mtaani CHADEMA wamekosa Umaarufu mtaani wameshapata Usemi kuwa CHADEMA Wanashirikiana na Mafisadi.

Hivi karibuni ripoti za Mchanga zimekifuta chama cha CHADEMA and bouncing back is Unlikely na Uchaguzi wa 2020 mtapoteza Wabunge wengi na 2025 chama kitakua kimesahaulika miongoni mwa watanzania.

Nawashukuru wananchi wanamuunga Mkono Rais Magufuli kwa juhudi zake za Kulinda Rasilimali za Nchi.
View attachment 525537
ed05cf4fd8286c8f5ec0a536e93cb8f5.jpg
yuko canada likizo
 
Huku Mtaani CHADEMA wamekosa Umaarufu mtaani wameshapata Usemi kuwa CHADEMA Wanashirikiana na Mafisadi.

Hivi karibuni ripoti za Mchanga zimekifuta chama cha CHADEMA and bouncing back is Unlikely na Uchaguzi wa 2020 mtapoteza Wabunge wengi na 2025 chama kitakua kimesahaulika miongoni mwa watanzania.

Nawashukuru wananchi wanamuunga Mkono Rais Magufuli kwa juhudi zake za Kulinda Rasilimali za Nchi.
View attachment 525537
Kwa taarifa tu Mimi na Kabachela kangu.
 
Hao wawili wanawakwepa kila siku. Ndio maana hoja nyingi za makamanda zimepoteza nguvu siku hizi.

Hapana hakuna anayewakwepa,tunasubiri utekelezaji wa hukumu yao tu,si wameanzishiwa mahakama yao ya mafisadi ili wafungwe harakaharaka?
 
Upo sahihi kabisa, hata mimi nawashangaa Chadema kwa kusaini

Mikataba mibovu kwa ya kuibia nchi hawafai hata kidogo.
Kukataa ushauri wa ccm wa kuleta mikataba na sheria za madini kufanyiwa review bungeni.
Mawaziri wa chadema kwenda kusaini mikataba nje ya nchi bila hata kusoma inasemaje. kweli Chadema wametusababishia hali ngumu kwa kipindi chote walichoongoza nchi tangu uhuru hadi leo.
Kweli kabisa, kwa upuuzi wao hawa machadema wametufikisha pabaya sana...na tusipokuwa makini watazidi kutupeleka shimoni zaidi....
 
Huku Mtaani CHADEMA wamekosa Umaarufu mtaani wameshapata Usemi kuwa CHADEMA Wanashirikiana na Mafisadi.

Hivi karibuni ripoti za Mchanga zimekifuta chama cha CHADEMA and bouncing back is Unlikely na Uchaguzi wa 2020 mtapoteza Wabunge wengi na 2025 chama kitakua kimesahaulika miongoni mwa watanzania.

Nawashukuru wananchi wanamuunga Mkono Rais Magufuli kwa juhudi zake za Kulinda Rasilimali za Nchi.
View attachment 525537
Ninaliona liccm hapa limepigwa chaliii na marangi yake ya kijani
 
Back
Top Bottom