Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,674
Aisee kumbe wewe ni mjanja sana...sikujua kwa kweli...
Nilidhani utavimba kichwa kama Madam Speaker na kunipa 24hrs ili nilete documents...
Kumbe wala...umeyamaliza kiutu uzima...!
Kwani na wewe ni mwenzetu kwenye 1947 club??
Cc: Kaizer, @FP, gfsonwin..(nisamehe kama nimekusababishia kero ya kubreak kabla ya muda...premature break..lol)
Babu DC!!
Mi nilikuangalia nikajua kuwa ni kauchokozi tu kakunichangamsha ili kama nililopoka nijisearch upya! manake ulivyojihami haraka mwenyewe na huo ushahidi babu yangu . . .!!
btw, natamani kweli ningekuwa kwenye hiyo 1947 club.
Labda nidandie lift!