kipigo toka kwa mpenzi, mke au mume... ni mapenzi ya dhati

I know... It should be like this for any person, ila inasikitisha the few who live a normal life are considered lucky because the abnormal has became a norm.


Ni kweli Roulette,

Kwa mila na makuzi yetu, mtoto ambaye hakupata kichapo hata siku moja anaonekana wa ajabu....

Ndiyo maana wengine bado tunawapa kichapo wajukuu pale wanaposhindwa kufuata maelekezo...

Kuna imani kwamba watoto ambao wanaelelewa kwa kudekezwa wengi wao wanaishia kuwa watu wa hovyo..labda ndiyo maana wazazi wengi tunatumia bakora..

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Kuna kitu kinaitwa "animus nocandi", Sijui kwa english nisemeje, it is the intention of harming. Nia ya kumuumiza mwenzio. Kwa mtu huyu anae maliza any argument kwa kupigana unaweza kuta hiyo animus nocandi sio the end in itself. the end is to kill the argument, and he is almost sorry that he has to hurt the person he is arguing with (could be a she pia)
Serial killer does what he does with the specific intention of harming. they are very different, and both need help.

Not help sema treatment.

Serial killer doesnt necessarily kill with the intention to harm. Some kill very kindly. Some kill to - in their own justification - revenge for their loved ones..etc etc.

The guy who beats his lady is to me no different to a serial killer. A serial killer would at times even be better off.
 
Not help sema treatment.

Serial killer doesnt necessarily kill with the intention to harm. Some kill very kindly. Some kill to - in their own justification - revenge for their loved ones..etc etc.

The guy who beats his lady is to me no different to a serial killer. A serial killer would at times even be better off.


Duuuuhhhhhhhh,

Sikujua kama kuna mtu anaweza kuwa bora zaidi ya serial killer....

Anyway, labda ni makuzi...ila wengine tumekuzwa na kuzoeshwa kwamba bila kumpiga mwanamke unakuwa mwanamume nusu.....!

Hapa sina maana kwamba ni mdau wa hayo mambo...!!

Babu DC!!
 
Kupiga si mapenzi na nayekupiga hakupendi. waswahili wanasema maneno mazuri humtoa nyoka pangoni. Mwanamme ukiona mwanamke huwezani nae mrudishe kwao na mwanamke ukiona mwanamme huwezani nae achana nae, kupigana si mapenzi.
 
Mentor utakua mkuria ww bt sio kiivo..mwanamke anatakiwa kupendwa,cared for,loved etc etc
 
We babu na mikwara bana!
Labda kama tungekuwa tunazungumzia makofi ya mombasani . . . . LOL.
Lakini na penyewe uupate wapi sasaaaa!!

Aisee kumbe wewe ni mjanja sana...sikujua kwa kweli...

Nilidhani utavimba kichwa kama Madam Speaker na kunipa 24hrs ili nilete documents...

Kumbe wala...umeyamaliza kiutu uzima...!

Kwani na wewe ni mwenzetu kwenye 1947 club??

Cc: Kaizer, @FP, gfsonwin..(nisamehe kama nimekusababishia kero ya kubreak kabla ya muda...premature break..lol)

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom