Kipigo na mahusiano ni upuuzi

Kipigo na mahusiano ni upuuzi

one things nimejifunza mwanamke huwa anapenda kutikisa kiberiti. na hiyo inakuja naturaly.
akikukuta mwanaume uko weak, lege lege.. yaani kila anachofanya mwanaume unaitikia tu yes? lazima akudharau.
adab kidogo itatosha.. sizungumzii ya kuvunjana. ila lazima ajue uwepo wako.. kwamba akizingua ajirekebishe haraka au yamkute ya kumkuta
This is for all women suffering and for men who bluttaly beat women ,hata iyo kidogo uliomaanisha no is no

Isaynotoviolence
 
Back
Top Bottom