Kipigo na mahusiano ni upuuzi

Kipigo na mahusiano ni upuuzi

umeelezea vizuri sana brother. adhabu iwepo lakin kiasi. ila kuna scenario uko nae kwenye ndoa halaf analeta hizo swags.. hapo makofi lazima
Dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzie wala hamna shida ya makofi. Ukijidai kutulia na mbususu moja ndio matokeo yake hayo. Mwanamke anatakiwa ajue kabisa kuwa anytime unaweza kupigwa chini ukavuta pisi nyingine
 
Mi binafsi nilikua nampiga sana girl friend wangu alikua mbishi na kinganizi ila after kumpiga full kumbembeleza na sex nk ila alikuaga ananambia anaenjoy sana nikimpiga sababu namfundisha na namuandaa kua mke bora
 
Punguza Jazba Mbona Mwenyewe kaandika vizuri tu na Ashasema sio lazima Mfanane sasa we Kiherehere chako tu Kujifanya unataka kumuweka sawa wakati mwenyewe kaongelea kwa Upande wake na kasema sio lazima Mfanane haya we Nini unataka labda, Jazba zako ukimwambia wema hivyo Utaambulia mitusi akili ikukae sawa Maana yeye keshasema tena huo ugomvi aliutaka mwenyewe na mwanaume hakuwa mtu wa Hivyo Tatizo unaleta Mihemko sehem siyo

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
Duuuuuuh! Mungu tusaidie[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
 
one things nimejifunza mwanamke huwa anapenda kutikisa kiberiti. na hiyo inakuja naturaly.
akikukuta mwanaume uko weak, lege lege.. yaani kila anachofanya mwanaume unaitikia tu yes? lazima akudharau.
adab kidogo itatosha.. sizungumzii ya kuvunjana. ila lazima ajue uwepo wako.. kwamba akizingua ajirekebishe haraka au yamkute ya kumkuta
Kipigo tunachosemea ndio kama cha dada ake mtoa post. Mtu anampiga mke wake kama mwizi aisee. Kuna watu wanajua kupiga jamani.
Mimi mtu akinipiga hivyo akienda kazini akirudi hanikuti.
 
Sasa kama mjeuri si umuache ukachukue mtiifu? Ukiona jeuri ujue amekudharau na kipigo hakifanyi akuheshimu atakua tu ana kuogopa.
Bora aniogope ila kipigo ni lazima, sijali kama haniheshimu au la! Kipigo tu akikosea yaani, kama hataki atoke.
 
Mi binafsi nilikua nampiga sana girl friend wangu alikua mbishi na kinganizi ila after kumpiga full kumbembeleza na sex nk ila alikuaga ananambia anaenjoy sana nikimpiga sababu namfundisha na namuandaa kua mke bora
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Oya Master tukupe mitano tena

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Kipigo tunachosemea ndio kama cha dada ake mtoa post. Mtu anampiga mke wake kama mwizi aisee. Kuna watu wanajua kupiga jamani.
Mimi mtu akinipiga hivyo akienda kazini akirudi hanikuti.
ndio maana kuna uchumba. unaishi na mtu ujue kama utaweza kuendeana nae. lakin pia mwanaume lazima ujue weakness zake.. haswa eneo la stress handling. nini huwa kina trigger hiyo kitu.. then from there utajua jinsi ya kukaa nae.
 
Dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzie wala hamna shida ya makofi. Ukijidai kutulia na mbususu moja ndio matokeo yake hayo. Mwanamke anatakiwa ajue kabisa kuwa anytime unaweza kupigwa chini ukavuta pisi nyingine
i dont know this but hii ni weird things. wanapenda kuishi on edge. haswa wakijua anytime akizingua ni red card.
and uko right mwanamke akijua yuko mwneyewe anajisahau kabisa
 
ndio maana kuna uchumba. unaishi na mtu ujue kama utaweza kuendeana nae. lakin pia mwanaume lazima ujue weakness zake.. haswa eneo la stress handling. nini huwa kina trigger hiyo kitu.. then from there utajua jinsi ya kukaa nae.
Unaweza ishi na mtu miaka 10 na usijue tabia yake halisi. Halafu wengi waliokua ni wapenzi wa muda mrefu wakija kufunga ndoa hua inakufa baada ya muda mfupi.
 
Kipigo tunachosemea ndio kama cha dada ake mtoa post. Mtu anampiga mke wake kama mwizi aisee. Kuna watu wanajua kupiga jamani.
Mimi mtu akinipiga hivyo akienda kazini akirudi hanikuti.
Me too boo I won't intertain KIPIGO kwa namna yyote Ile and that's maybe wengi hawaolewi/ kuoa/ or even stay single for long

[emoji123]Say no to domestic violence
 
Mi binafsi nilikua nampiga sana girl friend wangu alikua mbishi na kinganizi ila after kumpiga full kumbembeleza na sex nk ila alikuaga ananambia anaenjoy sana nikimpiga sababu namfundisha na namuandaa kua mke bora
Kuna msomi na Kuna alie elimika

#saynotodomesticviolence[emoji123]
 
one things nimejifunza mwanamke huwa anapenda kutikisa kiberiti. na hiyo inakuja naturaly.
akikukuta mwanaume uko weak, lege lege.. yaani kila anachofanya mwanaume unaitikia tu yes? lazima akudharau.
adab kidogo itatosha.. sizungumzii ya kuvunjana. ila lazima ajue uwepo wako.. kwamba akizingua ajirekebishe haraka au yamkute ya kumkuta
Hakuna swala la kidogo ,haitakiwi na iyo mentality Ni potofu na mbovuu. No means no ,mapenzi bila ushamba wa kupigwa na kupigana inawezekana

Isay no to VIOLENCE [emoji123]
 
Back
Top Bottom