ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,906
- 42,078
Daaah siwezi kuelezea mema yake nikayamaliza ila namkumbuka kwa Mambo mengi san alikuwa akinifulia nguo zangu Na ukubwa wangu looh alitulea malezi Mazuri mnoo nakuombea Barak na uzima mama angu uendelee kufaidi matunda yako kutoka kwetu nakupenda sana mama angu sijwahi pata Upendo wako popote katka uso huu wa ardhi Allah akupe maisha marefu mama angu[emoji8]