Kusakata rumba na pale anapotoa majibu mepesi tu hata kama ameulizwa suala zito la nch
Sasa kama alikuwa hajui ulitaka ajibu nini?!Si ndio huyu alipoulizwa swalil huko ughaibuni " KWANINI NCHI YAKE NI MASKINI"akajibu kuwa HAJUI SABABU ZA NCHI YAKE KUWA MASKINI!! We wasted ten of our precious years with this fellow! In any sane country he would have been impeached.
Unaweza kutaja hata 3. ....?Kila kitu