Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,097
- 127,830
Huu uchokozi binamuUnaweza kutaja hata 3. ....?
Huu uchokozi binamuUnaweza kutaja hata 3. ....?
Sasa kama alikuwa hajui ulitaka ajibu nini?
Teh, aliamua tu kuwa mkweli maana rasilimali tunazo bwerere lakini nchi na wananchi wake ni masikini...Asingekuwa kifuu cha nazi angewapotezea tu kuliko kuanika ujinga wake!!!
Alichowafanyia WA Zanzibar October 25 hahahahaha ata yeye najua hata sahau
PamojaDah hii track nilikuwa naitafuta sana... ni miaka sijawah isikia until leo.. nimeipata jf. Thanks man