Kipi ni chuo kinachotoa products zinazouzka sokoni hapa tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipi ni chuo kinachotoa products zinazouzka sokoni hapa tanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Perry, May 25, 2011.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Habari zenu wana jf!naomba kujuzwa kipi ni chuo knachotoa products znazokubalika sokon kati ya hivi udsm,sua,ardhi,mzumbe,ifm,muccobs,iaa,tumaini,udom,saut na muhimbili.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,261
  Likes Received: 19,389
  Trophy Points: 280
  ccm................
   
 3. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  TTC Butimba wote wanapata ajira
   
 4. m

  mams JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2011
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 616
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Katika best 100 universities Africa kwa Tanzania kinaonekana Udsm peke yake.
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  kama havard iko tanzania,bac nadhan uko sahihi pia mkuu.
   
 6. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hmmmmm. Maswali mengine bana.........
   
 7. Fungo N.

  Fungo N. JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  udsm kipo juu kwani ndicho kinachoongoza nchi kwa sasa na ndo kilichotufikisha hapa tulipo mafisadi karibu wote makatibu wakuu na watendaji mbalimbali wa serikali kasoro polis wa arusha na tarime chimbuko lake udsm sijagusa mikataba ya ulaghai ya richmond na madini UDOM tusubili..
   
 8. g

  gooner Member

  #8
  May 26, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nafikiri kakuelewa,aende chuo chochote kinachotambulika kisheria akasome aelimike ili ategemewe na Tanzania siyo aitegemee Tanzania.
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Usiangalie chuo, angalia ni vipi wewe utajiongezea sifa za ziada. Kusoma chuo chenye jina kubwa au ambacho hakina jina haimaanishi kuwa utapata kazi kirahisi au utakosa kabisa.
  Katika msafara wa mamba hadi sisimizi wapo. Akili kumkichwa.
   
 10. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  CCP MOSHI
  THE BEST,
  Output yao si umeiona?
   
 11. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #11
  May 28, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  ustawi pale karibu na hongera bar..
   
 12. landless

  landless Member

  #12
  May 28, 2011
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Saint John International Padrician University panakuja juu jaribu.
   
 13. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #13
  May 28, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,958
  Likes Received: 20,288
  Trophy Points: 280
  Western College, jengo la ccm mkoa ghorofa ya 7, ukimaliza hapo masuala ya hotel, kazi nje nje
   
 14. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #14
  May 28, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,228
  Likes Received: 4,947
  Trophy Points: 280
  Senetor umesoma masomo gani? Kwa kua Km unainterest na kozi za Engineering COET iliyo chini ya UDSM ni adequate ...Beside km una interest na Architectural & Land studies apply Ardhi University ndo mahala pake....MUCCoBs ni suitable kwa Co-operative & Business Studies while Mzumbe wako poa kwenye Law,Tumaini,SAUT sirecomend sana labda uwe na interest ya Theology Bt Kwa Medicine/Pharmacy Muhimbili UHASC umefika! Salam zako.
   
 15. l

  liomaps Member

  #15
  May 29, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  tunako elekea tutauliza wewe ni wawapi!kwanni vyou vyotesi vinatambuliwa na TCU,acheni ubaguzi.
   
 16. g

  gracious86 JF-Expert Member

  #16
  May 29, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 433
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  vyuo vyote ni fresh tu,so long as vinatambulika na course as well zinatambuliwa na TCu!
   
 17. Tumaini Jipya

  Tumaini Jipya JF-Expert Member

  #17
  May 29, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  <br />


  Muccobs kipo wapi Kaka?
   
 18. g

  gracious86 JF-Expert Member

  #18
  May 29, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 433
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mkuu ina maana tumaini na saut wamespecialize kwenye theology peke yake?
   
 19. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #19
  May 29, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  kuna cku nilikua kwenye daladala nkackia washkaj flan hv ambao kwa kuwaangalia 2 ni kama wametoka kwenye interview,nkackia wanaongea kwamba,hlo shirika ambalo ni la umma,na lnalojhusisha na kusambaza umeme hapa tz,lnapendelea baadh ya vyuo kama udsm,sua,mzumbe ,jamaa wengne nao nkawackia cku flan hv wanalalamika eti crdb,nbc,nmb,wao wanawapendelea sana wa2 wa sua,sa ndo nkawa najiulza ni kwamba vyuo vngne products zao ni haziaminik kwa waajir au vp?
   
 20. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #20
  May 29, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  kila chuo kiko vizuri kulingana na course mtu anayotaka kusoma as long vyote chini ya tcu na wao ndio huidhinisha mitaala. Swala la kutoa product nzuri pia linategemeana na uwezo wa msomi husika.
   
Loading...