Kipi ni chuo bora hapa Tanzania?

Chuo bora ni kile kilichosajili na TCU kama chuo kikuu halafu kutokana na ujuzi ulioupata unaweza kutatua matatizo yanayoikabili jamii,kama hakina hizo sifa basi hicho syo chuo
 
Tcu wangeamua kuzifata sheria vizuri, naamini tungekuwa na vyuo vichache sana.

Mf. MUM huwa wanakuja kufanya practical SUA kila wikiendi. Huo si utapeli? Tcu wamesajili vipi kozi bila ya maabara?
 
Tcu wangeamua kuzifata sheria vizuri, naamini tungekuwa na vyuo vichache sana.

Mf. MUM huwa wanakuja kufanya practical SUA kila wikiendi. Huo si utapeli? Tcu wamesajili vipi kozi bila ya maabara?

are u serious mkuu?
 
Kila mtu anasifia ubora wa chuo chake na si akili na ujuzi wake,hasa madenti wa udsm wanajikweza kua ndo no moja tz

mbona hueleweki mkuu? Hakuna cha maana kwenye thread yako . Unauliza, unajipa majibu na wakati huo huo unalalamika. Tafakari kabla ya kuandika.
 
Kila mtu anasifia ubora wa chuo chake na si akili na ujuzi wake,hasa madenti wa udsm wanajikweza kua ndo no moja tz

Fool i doubt kama upo chuo kweli,thread yako haina tija kwa maendeleo yetu na haichallange mind zetu zaidi ya kuleta ubishani wa kijinga humu ndani
 
UDSM bado iko juu.

Mkuu unajidanganya wewe,hakuna chuo bora Tanzania hii,vyote ni siasa tu..na hali imezidi kuwa mbaya kwenye hii awamu ya JK sijui huyu jamaa ana mzimu gani..By the way unaangalia nini kusema chuo fulani ni bora kuzidi kingine?
 
Ok,
Kwangu mojawapo ya vigezo vya chuo bora kiwe hakigawi Phd hivihivi kama vile watu wanageana andazi.
 
bwa mdogo ifm na iaa hizo ni taasisi tu huwezi kuzipa hadhi ya chuo,elewa swali la muanzisha uzi.

Unaweza ku-define Chuo kwa kiswahili?? anyway nenda kwenye top ranked universities in the world utakuta kuna Massachusetts Institute of technology (MIT) then uje hapa useme kwamba chenyewe ni chuo au sio chuo!! acha mambo ya kukremu ngugu yangu.
 
na vile vile kuna imperial college of london na london university college nk.huyo jamaa yeye anadhan chuo ni lazima kiitwe university pekee.
 
na vile vile kuna imperial college of london na london university college nk.huyo jamaa yeye anadhan chuo ni lazima kiitwe university pekee.

ok nimeelewa ufinyu wa mawazo yenu ngoja niwasaidie,ukisikia university basi hicho ni chuo kikuu,ukisikia collage au university collage basi ni chuo au chuo kishiriki respectively,ukisikia institute basi hiyo ni taasisi.Kuhusu MIT ni taasisi bora kwenye mambo ya teknohama tu na hakuna kitu kingine,ila university inatoa fani mbalimbali.
 
Swali rahisi sana hilo, UDSM ndio chuo bora kwa Tanzania, sio kwamba nakisifia, hapana....ndio ukweli huo.
HABARI NDIO HIYO! KAMA UNABISHA ANDAMANA.
 
Back
Top Bottom