Kipi ni chuo bora cha IT Tanzania ?

Kipi ni chuo bora cha IT Tanzania ?

Elly Andrew

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
413
Reaction score
178
Habari za leo wanajamvi,

Naomba msaada wenu katika hili. nahitaji kusoma IT katika ngazi ya advance diploma, nimekuwa nikijiuliza ni chuo gani kitanifaa kwa kozi hiyo ambapo kama nitahitimu nitakuwa marketable katika soko la ajira kutokana na elimu inayotolewa hapo.

Ningependa nianzie ngazi ya certificate kwa sababu sina ujuzi wowote wa IT. nimekuwa navutiwa na chuo kiitwacho Unique Academy cha wahindi pale kisutu je hiki pia vipi? naombeni maoni yenu nataka nibadili fani japo age ndo hvo tena.
 
College of Informatics,Udom..they are the best so far..the college is affiliated with Microsoft,and the only college in tz with microsoft innovation centre.
 
Nikuwambie ukweli nduugu yangu kadili ya uzoefu wangu wa kufanya kufanya kazi na graduands mbalimbali wa IT, naweza kusema nimefurahishwa sana na ueledi wa wale waliotoka RUCO au Mzumbe.

Vyuo vingine wanakuja ofisini kwangu na degree ya IT lakini mimi ambaye nimejifunzia computer mtaani nawazidi ujunzi...kazi ni kwako. Kama kweli unataka kupata ujuzi, nenda huko, na nadhani hao watu wa RUCO
 
Ni RUCO au Mzumbe. Nimefanya kazi na watu waliosoma huko na kuwakubali kabisa. Wengine wanatoka vyuo vyenye majina makubwa sana but wakiingia ofisini mimi niliojifunza computer mtaani nawazidi ujanja.

Pengine RUCO na Mzumbe wanafanya vizuri kwa sababu wanawalimu wenye uwezo wa juu sana katika IT. Nilipopeleleza siri ya mafanikio yao niligundua kuwa huko kuna madokta wa ICT. Go there my dear
 
Ni RUCO au Mzumbe. Nimefanya kazi na watu waliosoma huko na kuwakubali kabisa. Wengine wanatoka vyuo vyenye majina makubwa sana but wakiingia ofisini mimi niliojifunza computer mtaani nawazidi ujanja. Pengine RUCO na Mzumbe wanafanya vizuri kwa sababu wanawalimu wenye uwezo wa juu sana katika IT. Nilipopeleleza siri ya mafanikio yao niligundua kuwa huko kuna madokta wa ICT. Go there my dear

RUCO hapana kwa kweli
 
ahsante kuniangazia,wanatoa adv diploma
 
Institute of educational and management technology ya open University of Tanzania ni hatari Sana uliza wadau wengi waliosoma pale wameajiriwa na chuo pamoja na mtaani
 
ha ha ruco na mzumbe "!!! umenishangaza sana labda useme vitu basic kiukweli dit ndio wakali
 
Institute of educational and management technology ya open University of Tanzania ni hatari Sana uliza wadau wengi waliosoma pale wameajiriwa na chuo pamoja na mtaani

ahsante sana ntafuatlia ndg
 
RUCO na Mzumbe.. hahaha sikiliza wengine wote ila aliyesema RUCO na MZUMBE usimfikirie kabisa....
Sijasoma IT ila nimesoma Computer Science so najua khs IT vzr tu, i can tell u jamaa waliosoma IT hasa Mzumbe wako so shallow..

I recommend DIT
 
Ni RUCO au Mzumbe. Nimefanya kazi na watu waliosoma huko na kuwakubali kabisa. Wengine wanatoka vyuo vyenye majina makubwa sana but wakiingia ofisini mimi niliojifunza computer mtaani nawazidi ujanja. Pengine RUCO na Mzumbe wanafanya vizuri kwa sababu wanawalimu wenye uwezo wa juu sana katika IT. Nilipopeleleza siri ya mafanikio yao niligundua kuwa huko kuna madokta wa ICT. Go there my dear

Suala la Kwenye kazi hapo ni tofauti sababu shuleni kuna watu wako kwa ajili ya kufaulu (Kupata maksi za juu) na kuna wengine wapo kwa ajili ya kujifunza jinsi ya ku apply ile knowledge kwenye real world.

Ubora ni juhudi zako, kama unaona chuo kinakufaa kwa kuwa kina waalimu wazuri na vitendea kazi vya kutosha mi naona sawa tu. Lakini Jina la Chuo lisiwe kigezo
 
mm nazani chuo kizuri sana ni halmashauri ya kichwa chako
 
Habari za leo wanajamvi,

Naomba msaada wenu katika hili. nahitaji kusoma IT katika ngazi ya advance diploma, nimekuwa nikijiuliza ni chuo gani kitanifaa kwa kozi hiyo ambapo kama nitahitimu nitakuwa marketable katika soko la ajira kutokana na elimu inayotolewa hapo.

Ningependa nianzie ngazi ya certificate kwa sababu sina ujuzi wowote wa IT. nimekuwa navutiwa na chuo kiitwacho Unique Academy cha wahindi pale kisutu je hiki pia vipi? naombeni maoni yenu nataka nibadili fani japo age ndo hvo tena.
IT iko open sana na wala usitegemee chuo vyuo vyote vinalingana tu ila kinachotakiwa kwa uipende na pia uwe na malengo. nayo na kusoma kwa sana na kufanya practical za wingi ila google itakusaidia sana kupata maujanja
 
unaweza ukasoma shule ya kata na ukafaulu vizuri cha msingi ni wewe mwenyewe utakavyojiwekea ndivyo utakavyokuwa bora na fani yako,hivyo nakuambia vyuo vyote vinafanana ila malengo yako ndo yatakayokukomboa
 
Back
Top Bottom