Kipi ni bora..........? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipi ni bora..........?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by hamic mussa, May 20, 2012.

 1. h

  hamic mussa JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kipi ni bora kati ya kumpata mtu ANAYEKUPENDA lakini HUMPENDI au UNAEMPENDA lakini HAKUPENDI?
   
 2. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Hakuna bora hapo, maana mwisho wa siku utaishia kuwa shabiki wa shetani kwa kupenda uzinzi.
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,367
  Likes Received: 22,230
  Trophy Points: 280
  Wapendeni adui zenu
   
 4. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mimi napenda wale wanao nipenda :biggrin:
   
 5. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #5
  May 20, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 963
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  hakuna bora hapo bora kumpata mnayependana hayo ndio mapenzi.
   
 6. h

  hamic mussa JF-Expert Member

  #6
  May 20, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  SHABIKI WA SHETANI..... Teh teh teh!
   
 7. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #7
  May 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,982
  Likes Received: 1,893
  Trophy Points: 280
  Mtoa mada rudi kajipange upya. ni makosa sana kulazimisha upendo yaani iwe ni kulazimisha upendwe au kulazimisha upende. so mimi nakushauri hapa hakuna bora. Bora ni kupendana wote.
   
 8. h

  hamic mussa JF-Expert Member

  #8
  May 20, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  utajuaje km wanakupenda kweli?
   
 9. h

  hamic mussa JF-Expert Member

  #9
  May 20, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mh! Huo ni moyo wa manabii kupenda maadui zao...... Kwa binadam wa kawaida haiwezekani.
   
 10. h

  hamic mussa JF-Expert Member

  #10
  May 20, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa mfano hajatokea wa kupendana wote, utachagua nini?
   
 11. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #11
  May 20, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kazi ndogo sana mwanamke anaye kupenda ni vyepesi sana kumsoma, mana wao wakisha penda wanajonyesha kabisa kwa vitendo :biggrin:
   
 12. h

  hamic mussa JF-Expert Member

  #12
  May 20, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa iyo km hajatokea wa kupendana nae wote ni bora uachane na mapenzi au?
   
 13. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #13
  May 20, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Inakera mwanamke anapokufukuzia ilhali we humtaki,na kumtaka mwanamke akakutaa hilo ni jambo la kawaida, unampotezea tu,you can not win them all.
   
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  May 20, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,250
  Trophy Points: 280
  Rejea maandiko
  Wanaume= wapendeni wake zenu kwa akili
  Wanawake=watiini waume zenu
  Mwanaume ndo anapaswa kupenda, mwanamke kazi yake ni ku-respond kwa upendo anaoonyeshwa. Kwa hiyo kama ww ni mwanamke angalia unapovutwa but trust me akitokea mwenye juhudi zaidi huyo utamuacha salander bridge. Ila kama ww ni mwanaume ni wajibu wako kutengeneza mazingira ya kupendeka.

  Hivi unafikiri angeumbwa mwanamke kwanza halafu ndo akafuatia mwnaume ingekuwaje?
   
 15. h

  hamic mussa JF-Expert Member

  #15
  May 20, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Network Loading.......
   
 16. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #16
  May 20, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kupendana raha sio kusuguana roho.
   
 17. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #17
  May 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  mh,hili swali hata me huwa linanichanganya... ngoja nisubr magrt thnkrs!
   
Loading...