Tafadhalini sana msituondolee ARV'S , taarifa mpya zinaonyesha kwamba 89% ya viongozi wanaishi kwa nguvu ya hiyo kitu .Wakuu naomba tujadili hili, maana kama indicator tumeshawashiwa...
Je ni athari gani tutapata kama nchi na kwa mtu mmoja mmoja!
Kutokana na hali tete ya uchumi tuliyonayo je tukianguka kabisa itakuwa rahisi kuinuka??
NB: Mods msiunganishe huu uzi, pengine tutapata hapa namna ya kujiandaa na yajayo na kufunga mkanda!!
Mkuu kuna utofauti kati ya kunyimwa misaada na vikwazo vya kiuchumi (economic sanctions)...Baadhi ya huduma za kijamii na miradi mbalimbali itasuasua
Mzunguko wa fedha utapungua na baadhi ya biashara zitadorora na pengine kufa kabisa
Nadhani ifike pahala TUJITEGEMEE WENYEWE NCHI KAMA NCHI NA SIO KUTEGEMEA WAHISANI WENYE MASHARTI MAGUMU
Mkuu kuna utofauti kati ya kunyimwa misaada na vikwazo vya kiuchumi (economic sanctions)...
Sawa tunaweza kujitegemea.. ila hatuwezi kujitosheleza kwa kila kitu... tunahitaji kuuza nje na kununua pia!!
Lini sasa tutaanza kujitegemea mkuuuBaadhi ya huduma za kijamii na miradi mbalimbali itasuasua
Mzunguko wa fedha utapungua na baadhi ya biashara zitadorora na pengine kufa kabisa
Nadhani ifike pahala TUJITEGEMEE WENYEWE NCHI KAMA NCHI NA SIO KUTEGEMEA WAHISANI WENYE MASHARTI MAGUMU
Kujitegemea hakuji kwa kukurupuka,ni lazima mtu ujipange.Baadhi ya huduma za kijamii na miradi mbalimbali itasuasua
Mzunguko wa fedha utapungua na baadhi ya biashara zitadorora na pengine kufa kabisa
Nadhani ifike pahala TUJITEGEMEE WENYEWE NCHI KAMA NCHI NA SIO KUTEGEMEA WAHISANI WENYE MASHARTI MAGUMU
Mkuu lakini mbona mambo unayosema wanatuingilia ni mambo ya msingi... kwanini haki ya msingi za kiraia zibinywe? Kwanini wapinzani wageuzwe kuwa wahaini?Aliwekewa vikwazo Nyerere na nchi ilienda, hatuwezi kufuata Amri za mabeberu Kisa vikwazo, we must have our own denstiny this is our land hata kwao hatuwaingilii iweje watuingilie, wanataka kutuvuruga kwakua wanaona tuna Songa mbele bila ya misaada yao ya masharti
hili swali sijalipatia jibu hadi leo, ila nchi ina wapanga mipango naamini Tanzania bila misaada ya wahisani/wafadhili wa nje inawezekanaLini sasa tutaanza kujitegemea mkuuu