Kipi kinauma sana moyoni?

Kipi kinauma sana moyoni?

Lugano Edom

Senior Member
Joined
Dec 2, 2021
Posts
161
Reaction score
297
Kipi kinauma sana MOYONI:
1.Kudharauliwa.
2.Kumpenda mtu asiyekupenda
3.Kuwa mpweke.
4.Kutofurahiwa na watu.
5.Kufeli mitihani.
6.Kumpoteza mtu muhimu.
7.Kumuona umpendae akiwa na mpenzi mwingine.
8.Kumsubiria mtu fulani bila matumaini.
9.Kumpenda mtu lakini huwezi kumwambia.
10.Kushindwa na maisha

Foward Kwa Wengne Uone Kinacho Watesa Wengi Ni Kipi. Ila Nijibu Mimi Kwanza!
........
 
Eti nasikia inauma sana 😆😂,. Wakati Niko mdogo shuleni nilimpiga mtoto wa mwalimu na Mpira kwenye hizo nanilii aisee alilia hadi kamasi,. Nilichapwa na baba ake🤣🤣
Maumivu yake hayaelezeki unaweza kutamani uyakate yatoke kabisa 😂

Ulikuwa unatafuta nini huko kwenye makhaghari 😂
 
Maumivu makali ni kukuposa pesa, aisee acha tuu, hayo yote utayapitia yakiwa combined pale ukiwa hauna pesa,
 
Kipi kinauma sana MOYONI:
1.Kudharauliwa.
2.Kumpenda mtu asiyekupenda
3.Kuwa mpweke.
4.Kutofurahiwa na watu.
5.Kufeli mitihani.
6.Kumpoteza mtu muhimu.
7.Kumuona umpendae akiwa na mpenzi mwingine.
8.Kumsubiria mtu fulani bila matumaini.
9.Kumpenda mtu lakini huwezi kumwambia.
10.Kushindwa na maisha

Foward Kwa Wengne Uone Kinacho Watesa Wengi Ni Kipi. Ila Nijibu Mimi Kwanza!
........
5 na 10 ikisababishwa na mtu uliyemuamini sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom