Kipi kinafaa kwa ngozi yenye mafuta?

hamisi nondo

Senior Member
Aug 21, 2011
192
172
Wakuu habari zenu,

Bila kuchelewa mwenzenu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo hili, ngozi yangu ina mafuta mpaka inanikera, nikitembea juani kidogo tu uso wote unajaa mafuta, chunusi ndio za kugusa tu.

Sasa naomba mwenye kufahamu, sabuni na mafuta sahihi kwa ngozi zenye mafuta mengi kama yangu anifahamishe, maana nimekuwa nikiogea sabuni ya unga na sipaki mafuta yoyote na ikitokea ngozi inawasha basi najipaka mafuta ya nazi kidogo.
 
Karibu, pole sana kwa tatizo linalokusumbua. Mimi ni mwanachama wa kampuni ya Oriflame kutoka Sweden, kampuni hii inatengeneza bidhaa zake kwa kutumia malighafi asilia.

Hivyo zipo bidhaa zinaweza kukusaidia, ukihitaji njoo watsap 0672416294. Nitakuonyesha bidhaa na bei zake.
 
Back
Top Bottom