shabaan Dogo
Senior Member
- Apr 27, 2014
- 196
- 82
samahani nikuulize swali dadaakeKuacha aisee
Kwahiyo roho inakuuma ulivyoniacha?Bora uniache nitakua mwepesiii sina hatia kuliko nikuache roho itanisuta mimiii
Form two wanakuwa wana miaka mingapi?Una miaka mingapi?
Kwahiyo roho inakuuma ulivyoniacha?
Utakoma!
Kurudi itakuwa ngumu. Labda uje without nikiwa na kiu ya tendo la rahaYaaani! najuta sana sijui hata nafanyaje urudi kwenye himaya
Kurudi itakuwa ngumu. Labda uje without nikiwa na kiu ya tendo la raha
Niulize tu kakaakesamahani nikuulize swali dadaake
We kiboko aisee [emoji119] sa sijui huwa huzami deep?yaani mi sijui huwa naachwa au naacha, unakuta tu mawasiliano yamekatika kila mtu na hamsini zake